Tumgik
mwanagenzi · 8 months
Text
Nitaishi Bila Kubekuliwa?
Nenda kwako kununuwa, nisijuwe ya uneni, Sijapata kuuziwa, haki umeshanihini, Lugha yako sijajuwa, ukaniona sinani, Nitaishi siku gani, Pasi na kubekuliwa? Vibaya nimeuguwa, sinayo siha mwilini, Safu nimetimuliwa, nijapo zahanatini, Sijapata kutibiwa, tabibu kuniauni, Nitaishi siku gani, Pasi na kubekuliwa? Matumboni sijajawa, nibishapo hotelini, Chochote sijauziwa, mhudumu…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
mwanagenzi · 8 months
Text
Kaburi Ajichimbia
Si kiroja nakifoka, usemi nimesikia, Kichaa kimemfika, shari kajitangazia, Hadharani amewika, mawenge kajigambia, Mwajimbo hajapevuka, kaburi ajichimbia! Kwake fundi amefika, jeneza kujiundia, Kafiri amelimbuka, sheria ajibunia, Somo amepumbaika, wazimu umemgwia, Mwajimbo hajapevuka, kaburi ajichimbia! Madume ameyaweka, matanga kuwachinjia, Twabiazimechafuka, maadili kufifia, Yu hai anajizika,…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
mwanagenzi · 8 months
Text
Umemficha Mwandani
Hakuna siku sioti, nimsahau mwandani, Usingizi siupati, kumfikiri mwandani, Kucha nilipiga goti, nikimwombea mwandani, Bahati ewe Bahati, umemficha mwandani. Huko Bahati sipiti, bila kumwona mwandani, Mwenyewe naye hasiti, ananipenda mwandani, Hana jina haniiti, akinisifu mwandani, Bahati ewe Bahati, umemficha mwandani. Hunivua langu koti, kwa busu lake mwandani, Hunonyesha pa kuketi, kitabasamu…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
mwanagenzi · 8 months
Text
Shida Yangu Kukuwaza
Siti umenipumbaza, bongo kazitia pingu, Moyoni umeniweza, sina pa kuweka langu, Mahaba umenijaza, ukajifanya u wangu, Japo n’naenda zangu, shida yangu kukuwaza! Tutatengana kuwaza, kama aridhi na mbingu, Njia imeniongoza, huko Nyanza nende zangu, Vema ulinitongoza, siti ukimwomba Mungu, Japo n’naenda zangu, shida yangu kukuwaza! Sikani sitakuwaza, nitabaki na utungu, Banati waniuguza, nakuacha…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
mwanagenzi · 8 months
Text
Umeniacha Mwandani?
Nakupenda, wangu mleta-amani, Umetenda, mengi yasiyo kifani, Nitakonda, siha nikose mwilini, Umekwenda, umeniacha mwandani? Umeunda, nyingi raha mtimani, Limetanda, sikitiko la huzuni, Hujadinda, muhibu kuniauni, Umekwenda, umeniacha mwandani? Unadunda, moyo hauna hisani, Ulikanda, mwili wangu kuubuni, Langu tunda, kaanguliwa mtini, Umekwenda, umeniacha mwandani? Hujaenda, unitie tatizoni, Miye…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
mwanagenzi · 8 months
Text
Yabidi Nitarazaki
Kitako kutwa sibaki, uzembenikaonesha, Ulegevu hauliki, matumbo ukakutosha, Ukata haukutoki, ukunguni ukibisha, Yabidi nitarazaki, wanangu nikawalisha. Kwa njaa hakukaliki, masumbuko yakaisha, Ikwandamapo hilaki, uvivuwakebehisha, Mwenyezi hakubariki, uvivukikadamisha, Yabidi nitarazaki, wanangu nikawalisha. La bidii nahakiki, hata liwe la kuchosha, Hilo moja litabaki, mja akilidumisha, Bidii…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
mwanagenzi · 8 months
Text
Situngi Nikuoneshe
Nipe muda nikupashe, japo sitaki kufoka, Sineni nikuchambishe, hoja ninakupachika, Ningetunga nikutishe, ningekuwa napotoka, Natunga kuimarika, situngi nikuoneshe! Ukweli uainishe, ujue la kuambika, Ubozi jideulishe, jua la kueleweka, Natunga nikamilishe, nione limetungika, Natunga kuimarika, situngi nikuoneshe! Situngi nijioneshe, bali niweze inuka, Vema nijiimarishe, hoja za…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
mwanagenzi · 8 months
Text
Ningekupenda Ungevaa Rinda
Kimani wa Mbogo: Mahaba ningekudenda, kukupenda singedinda, Mapenzi ningeyaunda, nikutunze kama kinda, Sipendi yako magwanda, yaso mema wayatenda, Banati ningekupenda, ungekuwa nalo rinda! Huba nafanyia inda, usidhani utashinda, Sifa mbovu zimetanda, uchi wako ni ajenda, Hujioni umekonda, utulie kutoranda, Banati ningekupenda, ungekuwa nalo rinda! Ukijiandaa kwenda, huna mama kukulinda, Wadhani…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
mwanagenzi · 8 months
Text
Kwaheri Nakuru
Nasikitika wazoni, nendapo nikakuwata, Nilikupenda mwandani, tangu nilipokupata, Yapo majonzi moyoni, nakanganywa na utata, Kwaheri Nakuru wangu, naenda zangu Kisii. Napenda wako urembo, umbo lako lavutia, Si haba yako mapambo, zama ulijipatia, Nayakuli yangu mambo, dhahiri kukuambia, Kwaheri Nakuru wangu, naenda zangu Kisii. Nilipenda ndege wako, kuwatizama ziwani, Naondoka jiji lako, nende…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
mwanagenzi · 8 months
Text
Haya Ni Maisha Gani?
Sina kazi sina banzi, mashaka tu maishani, Yananibana majonzi, Mkenya sina sinani, Ningejitia kitanzi, ningegura maafani, Leo hili kesho lile, haya ni maisha gani? Bei ya mafuta juu, wenendako vituoni, Hakunacho cha nafuu, cha salama mfukoni, Hawatambui wakuu, twaelekezwa shimoni, Leo hili kesho lile, haya ni maisha gani? Wamepandisha nauli, na bidhaa za sokoni, Apimacho si kamili, anayeuza…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
mwanagenzi · 8 months
Text
Mua Tumekula Pamoja Nitalipaje
Kwako mwenzi nimebisha, mjeuri mekujua, Mua wangu waitisha, kwa meno wachuachua, Kipande wachakachisha, uroho nimegundua, Pamwe tumeula mua, kisha wataka nilipe! Wafatiliza utamu, huneni ukitafuna, Mwenzi nilikuhishimu, lakuhishimiwa huna, Ukiula u sanamu, mua wako kuguguna, Pamwe tumeula mua, kisha wataka nilipe! Macho yako umefunga, huoni huna fahamu, Meno yako umepanga, uliposhika…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
mwanagenzi · 9 months
Text
Ukiringa Nitalonga
Nailunga hino kunga, lengo langu kulitunga, Wala walala watanga, walalama kuno mwanga, Unaranda na kuranga, waronga nina ujinga, Ukiringa nitalonga, nikulenge kimalenga. Mlingano hujalinga, ujiole u mwanonga, Zetu kunga umesenga, husiti kunisimanga, Lengelenge lakulunga, kutotenga rangaranga, Ukiringa nitalonga, nikulenge kimalenga. Maringo yamekusonga, ushoga ukakuzinga, Ngoja utalengalenga,…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
mwanagenzi · 9 months
Text
Unlocking Your Inner Motivation: A Step-by-Step Guide
Motivation is the driving force behind our actions and the key to accomplishing our goals. However, staying motivated in the face of challenges can be a daunting task. To help you harness your inner motivation, here is a more detailed guide with actionable steps: Reflect on Your Why: Start by delving deep into the reasons behind your goals. What is it that truly inspires you? What do you hope to…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
mwanagenzi · 9 months
Text
Navigating the Realm of Online Income
Welcome back, seekers of financial freedom, to another enlightening post on your favorite platform, Trending Hope! Today, we’re delving into the exciting realm of making money online – a world of endless possibilities and opportunities that empowers you to shape your own financial destiny. 1. Harness Your Passions: Turning your passions into profit is not only achievable but also incredibly…
Tumblr media
View On WordPress
1 note · View note
mwanagenzi · 9 months
Text
Ziumiazo Ni Nyasi
Nayajuwa ya asasi, nambapo ukaniona, Sifutiwi na maasi, fahali wangapigana, Ungaona wanaghasi, siwe mwakaribiana, Wawili wanapowana, ziumiazo ni nyasi. Zinapovuma za kusi, athari inafatana, Vya thamani henda kasi, hasara kuandamana, Upepo hauanisi, na hewa zikitwangwana , Wawili wanapowana, ziumiazo ni nyasi. Ujapobaki mkosi, kwa laiti utaguna, Wanapowana huasi, mno wakaumbuana, Ukenda kama…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
mwanagenzi · 9 months
Text
Maovu Hayatoisha
Leo kero yakithiri, kesho adha yatwandama, Wa mautini ni kheri, melimatia neema, Nijaponena nighuri, ikanifate lawama, Maovu hayatoisha, weusini tupevuke. Polisi watunyanyase, waso hatia kuwawa, Mabazazi watutese, wafawidhi watendewa, Wazalendo uwakose, kiwapata majaliwa, Maovu hayatoisha, weusini tupevuke. Ufisadi ndio mwito, wakuu wapatilize, Mrungura ndio pato, huduma wazitimize, Huyafuata…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
mwanagenzi · 11 months
Text
The Secret to a Joyful Marriage: Discovering Happiness Together
Life is a beautiful journey, and marriage is the perfect companion to share it with. In the hustle and bustle of everyday life, we often forget to appreciate the little moments that make our relationships truly special. In this blog post, we will explore the secrets to a happy marriage and how to maintain the flame of love that brought you and your partner together. Communication is Key Open…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes