Tumgik
nyumbayavitabu · 4 years
Photo
Tumblr media
@tamcadventist Vyombo vya Habari vya Tanzania vyapata nguvu mpya kutokana na mabadiliko madogo ya uongozi katika Rock FM @rockfmmedia ya #mbeya na Morning Star Radio ya #daressalaam . . . . . . Source: . @hopechanneltz #hopechannel #hopechanneltz #hopechanneltanzania . . . . . . . . . . #sdaheritage #sdayouth #sdastyles #sdatanzania #sdachurch #sda #adventist #adventistsong #adventistchoir #adventistyouth #adventistworld #adventistmission #adventists #adventistas #adventistchurch #adventistnewsnetwork #adventistheritage #adventisthealth #adventistcolleges #matangazo #millardayoupdates #mwananchiupdates #mwananchi #millardayo https://www.instagram.com/p/CAusAxWHb1F/?igshid=vi0cdyms3rex
0 notes
nyumbayavitabu · 4 years
Video
Pastor Dr. Godwin Lekundayo (PhD) the President of Northern Tanzania Union Conference @ntucadventist shares insights on faithfulness of God to Tanzanian and the church in the region throughout the #covid19 pandemic. . . Mch. Dkt. Godwin Lekundayo (PhD), Mwenyekiti wa Union Konferensi ya Kaskazini mwa Tanzania @ntucadventist asimulia jinsi ambavyo Mungu amekua mwema kwa Watanzania na Kanisa katika eneo hilo kwenye kipindi chote cha janga la #korona . . . . Video credit to @adrainternational Tanzania and @ntucadventist . . . . #sdayouth #sdatanzania #sdachurch #sda #adventist #adventistworld #adventists #adventistas #adventistnewsnetwork #adventistchurch #adventisthealth #adventistchoirfamily #seventhdayadventistchurch #seventhday #seventhdaysabbath #seventhdayadventistschool #seventhdayadventist #tanzania #matangazo #tanzaniaweddings #covid_19😷 #covid #hopechannel #hopechannelkenya #hopechanneltz #hopechanneltanzania https://www.instagram.com/p/CAupdZfHuZx/?igshid=15p1b3fm6sxu0
0 notes
nyumbayavitabu · 4 years
Video
KIKUBWA IDADI.. Hata ukiwa na nguvu kiasi gani if ukiwa outnumbered sana na mpinzani hafifu ni rahisi kushindwa! Kanuni hii ni sahihi japo kuna mazingira haifanyi kazi. Do not apply! . Mungu pekee akiwa upande wako, ni ushindi dhidi ya maadui wengi! . . . . #panapoupendo #matangazo #timizamalengoyako #biblia https://www.instagram.com/p/B-t-X9qng8d/?igshid=1ssez2yp7jn0f
0 notes
nyumbayavitabu · 4 years
Photo
Tumblr media
Its a BLESSING and honor to have brothers who cares... I bless all caring brothers! . . . . . . . #sdastyles #tanzaniaweddings #tanzaniawedding #vitenge #kitenge #kitengefashion #kitengestyle #kitengedress #kitengedesign #kitengeoriginal #kitengewear #adventiststyle #adventistworld #adventistsworld #tanzanianweddings #tanzaniafashion #kenyafashion #ugandafashion #nairobifashion #matangazo #panapoupendo #sdatanzania #menfashion #menfashionstyle #menfashionreview #menfashionpost #menfashiontips #menfashions https://www.instagram.com/p/B-rJVP_FpDD/?igshid=1j4s62wvd46jv
0 notes
nyumbayavitabu · 4 years
Video
The Oakwood University Adventist Church @oakwoodsda had their choir practices online.. Its amazing what God can do! . Their experience made others around the world to believe its possible to serve the Lord while observing isolation and social distances. . . What new experience posed by #covid_19 #corona in your territory? . . . . . Kwaya ya Kanisa la Waadventista wa Sabato la chuo kikuu cha Oakwood @oakwoodsda nchini Marekani wafanya mazoezi ya kwaya kwa njia ya mtandao. Ni ajabu na kushangaza kile Mungu amefanya. . Uzoefu huo umesababisha watu wengi waamini kwamba inawezekana kuendelea kumtumikia Mungu katika utengano au umbali. . Je, ugonjwa wa #covidー19 #korona umeleta uzoefu gani mpya kiimani katika eneo lenu? . . . . . . . #sdatanzania #sdachurch #sda #seventhdayadventistchurch #seventhdayadventist #adventist #adventistyouth #adventistworld #adventists #adventistmission #adventistas #adventistnewsnetwork #adventistchurch #adventista #adventistcolleges #panapoupendo #nyumbayavitabu https://www.instagram.com/p/B-rDiXnnapq/?igshid=130ammj3qqakb
0 notes
nyumbayavitabu · 4 years
Photo
Tumblr media
Mwenyekiti wa Divisheni ya Afrika Mashariki na Kati wa Kanisa la Waadventista wa Sabato Ulimwenguni @ecdadventist Mch. Blasious Ruguri amewaandikia barua ya kuwatia moyo waumini wa Kanisa hilo waishio nchini Burundi kutokana na changamoto za uongozi na mahusiano zilizodumu kwa kitambo sasa kufuatia uliokuwa uongozi wa Kanisa nchi hiyo kubadilishwa kihalali na kukimbilia serikalini kuweka mazuio ya kung'ang'ania kubaki katika madaraka kinyume na sera za Kanisa. . . . Tangu wakati huo washiriki wasiounga mkono uongozi uliopita ambao hautambuliwi na Kanisa ulimwenguni wamekuwa wakipitia mateso na hata kushitakiwa Mahakamani. . . . Hatua hii ya Mch. Ruguri inaunga mkono jitihada ambazo zimechukuliwa na Konferensi Kuu ya Kanisa Ulimwenguni @adventistchurch kupitia barua na nyaraka mbalimbali za wazi kutoka kwa mwenyekiti wa Kanisa Mch. Ted N C Wilson. . . . Kupata undani wa taarifa hii, tembelea tovuti ya ECD na ANN #prayforburundi #pray4burundi . . . Tuombee kazi ya Mungu nchini Burundi na kuendelea kuwatia moyo wadumu katika imani tukijua wakati umekaribia sana. . . . @mujaya_mj . . . . . . #sdatanzania #sdachurch #adventist #adventistworld #adventists #adventistsworld #adventistas #adventistnewsnetwork #adventistchurch #adventista #adventistsworld #hopechannel #hopechanneltanzania #hopechanneltz #tumainikuu #seventhdayadventist #habari #tmi #tanzania #burundi #kenya #uganda #eritrea #southsudan #somabiblia #somalia #somali #rwanda https://www.instagram.com/p/B-o5cH0Hhiu/?igshid=h5mimdyzaz6
0 notes
nyumbayavitabu · 4 years
Photo
Tumblr media
Mwenyekiti wa Divisheni ya Afrika Mashariki na Kati wa Kanisa la Waadventista wa Sabato Ulimwenguni @ecdadventist Mch. Blasious Ruguri amewaandikia barua ya kuwatia moyo waumini wa Kanisa hilo waishio nchini Burundi kutokana na changamoto za uongozi na mahusiano zilizodumu kwa kitambo sasa kufuatia uliokuwa uongozi wa Kanisa nchi hiyo kubadilishwa kihalali na kukimbilia serikalini kuweka mazuio ya kung'ang'ania kubaki katika madaraka kinyume na sera za Kanisa. . . . Tangu wakati huo washiriki wasiounga mkono uongozi uliopita ambao hautambuliwi na Kanisa ulimwenguni wamekuwa wakipitia mateso na hata kushitakiwa Mahakamani. . . . Hatua hii ya Mch. Ruguri inaunga mkono jitihada ambazo zimechukuliwa na Konferensi Kuu ya Kanisa Ulimwenguni @adventistchurch kupitia barua na nyaraka mbalimbali za wazi kutoka kwa mwenyekiti wa Kanisa Mch. Ted N C Wilson. . . . Kupata undani wa taarifa hii, tembelea tovuti ya ECD na ANN #prayforburundi #pray4burundi . . . Tuombee kazi ya Mungu nchini Burundi na kuendelea kuwatia moyo wadumu katika imani tukijua wakati umekaribia sana. . . . @mujaya_mj . . . . . . #sdatanzania #sdachurch #adventist #adventistworld #adventists #adventistsworld #adventistas #adventistnewsnetwork #adventistchristianfellowship #adventistchurch #adventista #adventistsworld #hopechannel #hopechanneltanzania #hopechanneltz #tumainikuu #seventhdayadventistchurch #seventhdayadventist #habari #seventhday #seventhdaysabbath #seventhdayadventistschool #maombi #tmi #revivalandreformation #tanzania #burundi #kenya #uganda #eritrea #southsudan #somabiblia #somalia #somali #rwanda https://www.instagram.com/p/B-o421dnr28/?igshid=120rp124hsi3q
0 notes
nyumbayavitabu · 4 years
Video
Nyumbani panatakiwa kuwa mahali pa amani ambapo kila mtu atakimbilia wakati wowote na kujiona salama.. . . Kila mwana familia ana wajibu kuhakikisha hili. Kupigana si hatua ya mwisho ya kukoseana uvumilivu lakini ni hatua ya kwanza ya kukoseana heshima na adabu. . . Epuka ugonvi, Linda familia yako, uifanye jamii yako eneo bora la kuishi. . . . . . . @ushauri_saikolojia_mahusiano @pastor_david_mmbaga @joelnanauka_ @mwalim_mwakasege @mcgarab . . . . . . #panapoupendo #mahusiano #matangazo #tanzaniaweddings #tanzaniawedding #mapenzi #ndoa #marriagequotes #marriagelove #marriagefirst #marriagefights #coupleshoot #couplefights #covid_19 #covıd19 #tanzania #kitenge #kitengefashion #mishono #vitenge #wasafi #wcb4life #daressalaam https://www.instagram.com/p/B-ofgtdF-c3/?igshid=15ml2ef1sfq2t
0 notes
nyumbayavitabu · 4 years
Video
Weka Caption wewe mwenyewe, mimi Nimeshindwaaa...! . . . . . . . . . . #matangazo #tanzaniaweddings #tanzaniawedding #mapishi #vitabu #soma #biblia #bibleverse #kitengefashion #kitchendesign #kitabu #kitengewear #wcb4life #wcb #wasafi #wemasepetu #wekezamaarifa #panapoupendo #sdatanzania #sdachurch #sda #covid_19 #tanzania #elizabethmichael #jokatemwegelo #chombo #nyama #nyamachomafestival #nyamachoma #funnymemes #memestagram #memesbrasileiros #tanzania #daressalaam #mbeya #mwanza #arusha #morogoro #songea #magazeti #malezi #sherehe #harusi #weddingfood #weddingdinner #chakula #afya #adventista #adventistbooks #adventistbook #adventistbookcenter #adventistsingers #seventhdayadventist #adventisthealth #adventistyouth #picnic #hikingfun #hikingfood #hikingwithdogs #hikingtrails #hikingdogsofinstagram #hikinglife #hikingday #hikingtime #mapenzi #mahusiano #mahaba #mishono #mishkak #kuku #kukuchoma #barbeque #foodtime #foodtips #healthtips #healthtalk #eatingdisorderrecovery #eatingfortheinsta #eatinghealthy #eatingfood #eatingforhealth https://www.instagram.com/p/B-oZtoDn0Rm/?igshid=1n97013zscu63
0 notes
nyumbayavitabu · 4 years
Photo
Tumblr media
Kanuni za kuwa HODARI katika mambo yote. . . . . . . . . #wekezamaarifa #soma #vitabu #matangazo #tanzania #biblequotes #bibleverses #biblereadingchallenge #bookreview #bookshop #bookreading #bookreader #bookstores #bookshopping #booksale #booklove #bookreadingtime #booklover #bookrecommendations #bookrecommendation #panapoupendo #mahusiano #wcb #wasafi #timizamalengoyako #kitenge #kitengefashion #kitengestyle #kitabu #daressalaam https://www.instagram.com/p/B-hgckbAXu8/?igshid=1v5gtnx1llynv
0 notes
nyumbayavitabu · 4 years
Photo
Tumblr media
Simama Imara! Sabato Njema.. Happy Sabbath! . . . . . . #panapoupendo #sabato #sabbath #sabbathday #wekezamaarifa #soma #somabiblia #biblia #matangazo #habari #mahubiri #bibleverseoftheday #biblequotes #bibleverse #biblestudy #bibleverses #sda #sdatanzania #sdachurch #adventist #adventisthealth #adventistfashion #adventistyouth #adventisteducation #adventistworld #adventists #adventistas #adventistchurch #adventista #adventistmission https://www.instagram.com/p/B-hfO5YHA8j/?igshid=1wnam4g9zvht7
0 notes
nyumbayavitabu · 4 years
Photo
Tumblr media
Visionary LOOKS don't LASTS... . . . . . . . . . . #suitandtie #suitsformen #suitstyle #adventiststyle #sdastyles #suitsformen #suitsmaterial #suitup #suitlife #suit #groomsuit #groomwear #groomportrait #groomswear #groomfashion #grooms #groomsinspiration #groominspiration #groomsmenstyle #groomsquad #groomsmen #groomsmengift #covid_19 #tanzaniawedding #tanzaniaweddings #tanzanianweddings #panapoupendo #matangazo #weddingphoto #weddingmakeup #weddingfashion https://www.instagram.com/p/B-fQXEglDKF/?igshid=6d337mzosirr
0 notes
nyumbayavitabu · 4 years
Photo
Tumblr media
Aombaye HUPEWA.. Abishaye HUFUNGULIWA na Atafutaye HUPATA.. . . . Leo Mungu akujalie neema na rehema zake UPOKEE kila unapoomba, UFUNGULIWE kila unapobisha na UPATE kila unapotafuta.. . . . Amen! @mujaya_mj @pastor_david_mmbaga @joelnanauka_ @harriskapiga @mcluvanda_events @mcgarab . @masanjamkandamizaj . . .. . . . . . #wekezamaarifa #panapoupendo #soma #vitabu #matangazo #mahusiano #mafundisho #kitabu #bookshop #bookreview #bookshelves #bookreader #bookreading #bookstores #bookshopping #books #bookreviews #biblia #bibleverse #bibleverseoftheday #biblequotes #bibletruth #bibleverses #biblereading #biblereadingchallenge #biblestudy #bibleart #biblequotesdaily #biblejournaling #biblescripture https://www.instagram.com/p/B-cMzG_A_kx/?igshid=1su4bfc3d833p
0 notes
nyumbayavitabu · 4 years
Photo
Tumblr media
Keep best MEMORIES for positive energy to conquer the FUTURE.. . . . . . . . #sdastyles #panapoupendo #groomwear #groomswear #grooms #groomfashion #groomfashion #groomsmenstyle #groomsmen #groomsquad #groomsinspiration #groominspiration #suitsmaterial #suits #suitstyle #suitandtie #tanzania #suitsformen #suitup #suitlife #sabato #suit #groomsuit #tanzaniawedding #tanzaniaweddings #tanzanianweddings https://www.instagram.com/p/B-bdvuxlnyp/?igshid=9w4xpfnr061
0 notes
nyumbayavitabu · 4 years
Photo
Tumblr media
Imeripotiwa katika @adventistchurch kwamba jumapili tarehe 22 March tetemeko kubwa la ardhi lilikumba mji mkuu wa Jamhuri ya Croatia - Zagreb lenye ukubwa wa vipimo vya tetemeko 5.3. Inasemekana katika historia ya nchi hiyo tetemeko kubwa kiasi hicho lilitokea miaka 400 iliyopita. Tetemeko la mwaka huu limesababisha uharibifu mkubwa wa mali na miundombinu. Konferensi ya Croatia, kanisa la kati la Croatia (Croatia Central) na nyumba za wachungaji zilizopo mjini Zagreb zimeripotiwa kuharibika vibaya na tathimini bado inaendelea huku hali bado taarifa ya uharibifu na hasara kwa waumini bado haijatolewa na vyombo vinavyohusika. Tuendelee kuombea waumini wa kanisa waliopo jamhuri ya Croatia. Jikinge na uwalinde wenzako na maambukizi ya #covid_19 @mujaya_mj #sda #sdatanzania #sdachurch #adventist #adventistfashion #adventistyouth #adventists #adventistworld #adventistas #adventistnewsnetwork #adventistchurch #adventistchristianfellowship #seventhday #seventhdaysabbath #seventhdayadventistchurch #seventhdayadventist #adventisthealth #adra #panapoupendo #hopechannel #hopechanneltanzania #tamc #adventisteducation #adventistsworld #sabato #sabbathschool #sabbath #sabbathday #tanzania https://www.instagram.com/p/B-XfBwZHdry/?igshid=1njq4dcqf0843
0 notes
nyumbayavitabu · 4 years
Photo
Tumblr media
Upendo hushinda yote... ! . . . . . . . #biblia #booksreading #bookshop #bookreview #bookshopping #bookshelves #booksale #bookreviews #booklove #panapoupendo #bibleverse #soma #bookreader #bookrecommendations #bookreadingtime #bibleverses #bibleart #biblestudy #bibletruth #biblescripture #biblequote #biblequotes #biblejournal #bibletalk #bibletruth #bibles #biblememes #biblestudymoments #biblestudynotes #biblestudygroup #biblestudyfellowship https://www.instagram.com/p/B-Xax3xnkgu/?igshid=1fgmlelg5g4oz
0 notes
nyumbayavitabu · 4 years
Photo
Tumblr media
Mambo yote mema na chanya ktk Mahusiano yanawezekana! . . . . . . . . . #biblia #bibleverses #bibleverse #biblestudy #biblequotes #bibleverseoftheday #mahusiano #panapoupendo #ndoa #mapenzi #mungu #yesu #weddingdesign #tanzaniawedding #tanzaniaweddings #tanzanianweddings #kenyaweddings #mahaba #mahubiri #biblescripture #biblequote #biblereading #biblereadingplan #timizamalengoyako #matangazo #wcb4life #wcb #wasafi #covid_19 #covıd19 https://www.instagram.com/p/B-XZhyelFLP/?igshid=qvd37orcvads
0 notes