Tumgik
#Mafumbo
rwizakakiza · 5 months
Text
Https://www.youtube.com/@Rwizakakiza
(Share &. Subscribe)
UPONYAJI WA NAFSI (MOYO)
Sehemu .XI.
NAMNA YA KUTAMBUA CHANZO CHA MAUMIVU YA NAFSI.
Namna ya kuelewa chanzo cha tatizo au maumivu ya moyo aliyonayo mtu, zipo njia tatu kuu za kutumia:-
1. MASIMULIZI
Hii ni njia ya kuelewa chanzo cha maumivu ya nafsi kwa Kusimuliwa na wazazi au watu wengine kuhusu vizazi vilivyopita na jinsi walivyoishi. (Yaani walifanaya nini, Mila gani walifanya, Waliishije wenyewe kwenye kulea, Mahusiano yao yalikuwaje, nk)
......Kumbuka siku za kale, Tafakari miaka ya vizazi vingi; Mwulize baba yako, naye atakuonyesha; Wazee wako, nao watakuambia.
.......Kum‬ ‭32:7‬.......
2. UHALISIA WA FAMILIA.
Hii ni njia ya pili ya kutambua chanzo cha maumivu ya nafsi kwa kuangalia hali halisi iliyopo kwenye familia au ukoo au mazingira yako au watu wa karibu na wewe.
Mfano. Unaweza kuangalia kama kwenye familia kama imetawaliwa na Magomvi, Watu wenye hasira kali, wenye hofu, Wenye kukata tamaa, kujitenga, Ulevi, kukwepa majukumu, kutuhumiana, na mengineyo yanasababisha watoto wanaozaliwa wazaliwe na maumivu ya ndani.
3. ROHO MTAKATIFU
Hii ni njia bora zaidi ya kutambua chanzo cha maumivu ya nafsi kwa kumwomba ROHO MTAKATIFU akuonyeshe au akufunulie chanzo chanzo cha shida yako.
ROHO MTAKATIFU anafunua mafumbo hata yaliyo magumu Inategemea umempatia nafasi kiasi gani. Yeye anakuongoza kwenye kweli yote na uhalisia wake, anafunua hata yajayo na kama ana uweza wa kufunua yajayo hawezi kushindwa kufunua yaliyopita yaani chanzo cha maumivu yako ya moyo.
.....Yeye atakapokuja, huyo Roho wa kweli, ATAWAONGOZA awatie kwenye KWELI YOTE; kwa maana hatanena kwa shauri lake mwenyewe, lakini yote atakayoyasikia atayanena, na MAMBO YAJAYO atawapasha habari yake.
......Yohana ‭16:13‬......
NJIA ZA KUKUSAIDIA ILI UPOKEE UPONYAJI KAMILI WA MAUMIVU YA NAFSI.
Jambo la msingi ni nini cha kufanya ili nipokee uponyaji wa ndani?
💬Tutaendelea....
Rejea
Remember the days of old, Consider the years of many generations. Ask your father, and he will inform you, Your elders, and they will tell you.
......Deuteronomy‬ ‭32:7‬......
@2023 the greatest Glory for me.
0 notes
mwanagenzi · 1 year
Text
Lugha Yako Sielewi
Ninaamba kusikiwa, kunyamaa siambiwi, Nawajia kuumbuwa, lugha hazizingatiwi, Mkabila nielewa, lugha yako siijuwi, Vema ukifafanuwa, lugha yako sielewi! Maasi sijajaliwa, magombano siyazuwi, mafumbo huyafumbuwa, lugha yako sifumbuwi, Ukabila umejawa, aswili sifatiliwi, Vema ukifafanuwa, lugha yako sielewi! Lugha nyingi nasemewa, hakunayo siambiwi, Uhasama natendewa, hisani hezingatiwi, Domole…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
enockmaregesi · 5 years
Photo
Tumblr media
Kwa nini Biblia imejaa mafumbo? Biblia imejaa mafumbo kwa sababu akili za watu bado hazijakomaa kuupokea ukweli. Yesu na waandishi wote wa Biblia waliongea na kuandika kimafumbo, ili Neno la Mungu lijidhihirishe lenyewe kiroho katika mawazo ya mtu. #biblia #bible #mafumbo #riddles #nenolamungu #wordofgod https://www.instagram.com/p/BrKQTJ5ns-X/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=tzwz0a9ylkfb
0 notes
Text
Harmonize - Teacher Lyrics
Harmonize – Teacher Lyrics
Teacher Lyrics by Harmonize Yao yao hahaha…Jeshi Yeah! Wakati wanahanya kugombea kiti Wanadanganyana na views wa ku-cheat Mie jicho lipo nyanya nilishakula kijiti Na magoma yakipigwa huko club mtiti   Ninachojua masela Huko mtaani kuna dhiki Ndo maana siringishi hela Wala ninavyovimiliki Mafumbo andika kwa dera Watu wanataka muziki Mara kumi mwanangu wa cinderella Yeye hapendagi makiki (Oh nah…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
jamaica-song-lyrics · 3 years
Text
Harmonize - Teacher Lyrics
Harmonize – Teacher Lyrics
Teacher Lyrics by Harmonize Yao yao hahaha…Jeshi Yeah! Wakati wanahanya kugombea kiti Wanadanganyana na views wa ku-cheat Mie jicho lipo nyanya nilishakula kijiti Na magoma yakipigwa huko club mtiti   Ninachojua masela Huko mtaani kuna dhiki Ndo maana siringishi hela Wala ninavyovimiliki Mafumbo andika kwa dera Watu wanataka muziki Mara kumi mwanangu wa cinderella Yeye hapendagi makiki (Oh nah…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
expesho · 3 years
Photo
Tumblr media
TAFSIRI YA MAISHA YAKO UMEITOA WAPI? Ukiwaacha watu wakupe tafsiri ya maisha yako, wao watakupatia tafsiri kwa faida yao, wata kuona kama Beberu alie nona, watakuhifadhi katika maboma ya mioyo yao, na katika mazizi yao, watakupa chakula kizuri na watajitahidi kukupa dawa za kuponya magonjwa yako, na watatumia muda mwingi wakutunze, mwisho wa siku wanachohitaji ni supu........na wewe kwao nikama beberu tuu.... Ila kama ukikubali kuwa na mtazamo sawa kwa kuamua kutafsiri maisha yako kutoka kwenye msingi wa Mungu, yaani kwakutumia neno la Kristo, yeye atakuwa Baba kwako, atakupa neno lake na atakupa maana halisi ya maisha katika njia rahisi nawe utafarijika, Neno la Mungu lina tabia nne... 1. Lina mamlaka, 2. Lina hekima na kufunua mafumbo na siri. 3. Lina umuhimu kwenye maisha . 4. Lina tosheleza maisha yetu... Kwanjia hii, tunapata kuwa kwenye lengo hasa la Mungu, na yeye anatulea kama watoto wake na sio kama wale wanao kulea kama Beberu.. Hawa walezi wanawezakuwa 1. Familia zisizo na msingi wakimungu, ambao bado wapo chini ya mizimu na uchawi. 2. Marafiki na Dunia wasio na msingi kwa Mungu. 3. Dini na Itikadi za kibinadamu walizo jitungia watu kwa mapenzi yao. 4. Kazi na mashirika yanayolenga kunyonya supu ndani yako kwa manufaa yao. Ila, Yesu anatuita kondoo wake, yeye halengi mtazamo wa ufugaji na ulaji wa nyama bali yeye ndie anaechinjwa ili kondoo waishi, haya ni mapinduzi makubwa ya kifikra kwa wakati ule alipokuwa anahubiri. ila wafugaji wanalenga kula nyama yako..... Yohana 10 9 Mimi ndimi mlango; mtu akiingia kwa mimi, ataokoka; ataingia na kutoka, naye atapata malisho. 10 Mwivi haji ila aibe na kuchinja na kuharibu; mimi nalikuja ili wawe na uzima, kisha wawe nao tele. 11 Mimi ndimi mchungaji mwema. Mchungaji mwema huutoa uhai wake kwa ajili ya kondoo. NANI ANAEKUPA TAFSIRI YA MAISHA YAKO? 1. Wazazi na tamaduni zenu? 2. Kazi na cheo chako? 3. Jinsia na tamaa zako? 4. Mke au Mume au watoto? 5. Dini na Itikadi au Viongozi wako wa Dini? 6. Neno la Kristo? TAFAKARI TENA....... https://www.instagram.com/p/CIVH-AABloD/?igshid=4yexkwd9zlmf
0 notes
Video
youtube
Neno la Mungu | Ufafanuzi wa Mafumbo ya Maneno ya Mungu kwa Ulimwengu Mz...
0 notes
youtube
Neno la Mungu | Ufafanuzi wa Mafumbo ya Maneno ya Mungu kwa Ulimwengu Mz...
0 notes
wanglilyblr · 4 years
Video
youtube
Neno la Mungu | Ufafanuzi wa Mafumbo ya Maneno ya Mungu kwa Ulimwengu Mz...
0 notes
mwanagenzi · 5 years
Text
Chungu na Pegiko
Kutegemea pegiko, ndio tabia ya chungu Kisipate hangaiko, kikaja tenguka tengu Kama mwana na mbeleko, huwezi engua engu Mambo huenda mtengu, chungu pasi na pegiko ~Utunzi wa Hamisi Kissamvu #Mwanagenzi
Kutegemea pegiko, ndio tabia ya chungu Kisipate hangaiko, kikaja tenguka tengu Kama mwana na mbeleko, huwezi engua engu Mambo huenda mtengu, chungu pasi na pegiko
Chungu pasi na pegiko, itakufika mizungu Utapata hangaiko, huwezi kuvuga dengu Adha yake mnenguko, kila muda nengunengu Mambo huenda mtengu, chungu pasi na pegiko
Chungu pasi na pegiko, ni duni usoni mwangu Inanipa hamaniko, mnani watu…
View On WordPress
0 notes
Text
Ibraah - Jipinde Lyrics
Ibraah – Jipinde Lyrics
Jipinde Lyrics by Ibraah Ye aah chinga aaah Moja nikusifie we kama katuni mwendo hauna kasoro na kawimbo ni kuimbie sio kwa mafumbo kweli mwali mwali nimefollow shida ya upendo uko moyoni natamani nikuoneshe ila hauonekani we my sweet my hani bani nimependa kweli sio ku having fun ouwoo o oooh darling darling sweet sweet ile mida flani ndani tukwichi kwichi pendo limesha noma na twitt…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
jamaica-song-lyrics · 3 years
Text
Ibraah - Jipinde Lyrics
Ibraah – Jipinde Lyrics
Jipinde Lyrics by Ibraah Ye aah chinga aaah Moja nikusifie we kama katuni mwendo hauna kasoro na kawimbo ni kuimbie sio kwa mafumbo kweli mwali mwali nimefollow shida ya upendo uko moyoni natamani nikuoneshe ila hauonekani we my sweet my hani bani nimependa kweli sio ku having fun ouwoo o oooh darling darling sweet sweet ile mida flani ndani tukwichi kwichi pendo limesha noma na twitt…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
itsleefrances · 4 years
Video
youtube
Neno la Mungu | Ufafanuzi wa Mafumbo ya Maneno ya Mungu kwa Ulimwengu Mz...
0 notes
5k8qdet97dkw · 4 years
Video
youtube
Neno la Mungu | Ufafanuzi wa Mafumbo ya Maneno ya Mungu kwa Ulimwengu Mz...
0 notes
Video
youtube
Neno la Mungu | Ufafanuzi wa Mafumbo ya Maneno ya Mungu kwa Ulimwengu Mz...
0 notes