Tumgik
#Habari za leo Tanzania
vijanatutaongea · 1 year
Photo
Tumblr media
MWENYEKITI WA JUMUIYA YA VIJANA WA CHAMA CHA MAPINDUZI (UVCCM) TAIFA COMRADE MOHAMED KAWAIDA (MCC) AWAKEMEA WANAOJIHUSISHA NA VITENDO VYA UKOSEFU WA MAADILI Mwenyekiti wa Jumuiya ya umoja wa Vijana wa CCM Tanzania *Mohamed Kawaida (MCC)* leo Tarehe 09 Aprili 2023 katika Mkutano wake na waandishi wa habari uliofanyika katika Afisi kuu za UVCCM Gymkhana Zanzibar amekemea vitendo vya ukosefu wa maadili na kusisitiza kuwa Taifa lolote ulimwenguni lina Maadili yake, Mile na desturi zake lakini Sheria zake ambazo Wananchi wake hawana budi kuzifuata. Hivyo amesema UVCCM Wanaungana na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan katika Kukemea vitendo hivyo na kuwataka wote wanaoshiriki katika vitendo vya ukosefu wa maadili ya Kitanzania kuacha mara moja. "Taifa lolote lile ulimwenguni linakua na maadili yake lakini pia mila na desturi zake sambamba na hilo linakua na sheria zake, Niwaombe sana Vijana wa Tanzania Bara na Visiwani kwa wale wote wenye ukosefu wa maadili kuacha mara moja" alisema Mohamed Kawaida. "Sisi umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi UVCCM Taifa hatuungi mkono vitendo hivyo, na Tunaungana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan kuwakemea wale wote wanaoshiriki kwa namna moja au nyingine katika Vitendo wa ukosefu wa maadili" *Mohamed Kawaida* Sanjari na hilo Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi *Ndugu Mohamed Kawaida (MCC)* amewatakia heri ya Sikukuu ya Pasaka Wakristo wote Tanzania na Duniani lakini pia Mfungo mwema wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa Waisilam wote Tanzania na Duniani kwa ujumla. Lakini pia amewaomba Watanzania kutumia fursa ya sikukuu hizi za Pasaka na Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kuendelea kuwaombea Dua Viongozi wetu pamoja na Umoja wetu na mshikamano wetu ambao Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Hayati Komandoo Abeid Karume Rais wa kwanza wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar waliouasisi kwa manufaa ya Vizazi vijavyo. https://www.instagram.com/p/Cq2j9u2MQfp/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
0714091786 · 2 years
Photo
Tumblr media
Habari za michezo kwenye magazeti ya Tanzania leo Agosti 11, 2022 Comment LikePage Share #BABADUPDATES (at Tanga, Tanzania) https://www.instagram.com/p/ChHPucBq0eW/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
modealer-dailynews · 2 years
Photo
Tumblr media
#newspaper Habari za magazetini Tanzania leo. Kurasa za mbele za magazeti mbalimbali ya Tanzania leo 21 July 2022. Vichwa vya habari magazetini Powered by @next_fashion_brand . #modealertv #dailymodealer #modealer839 #modealer #eastafrica . Gazeti la #mwananchi #zanzibarleo #nipashe https://www.instagram.com/p/CgQmmRKKuYb/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
1111155555 · 3 years
Link
I Welcome you to read Tanzania news today
1 note · View note
automedia-tanzania · 7 years
Link
http://ift.tt/2fJf1Vk October 04, 2017 at 08:58PM
0 notes
automedia-tanzania · 7 years
Link
http://ift.tt/2xTESVn October 04, 2017 at 07:02PM
0 notes
automedia-tanzania · 7 years
Link
http://ift.tt/2y1H0tO October 04, 2017 at 09:00PM
0 notes
automedia-tanzania · 7 years
Link
http://ift.tt/2xUepo5 October 04, 2017 at 07:09PM
0 notes
automedia-tanzania · 7 years
Link
http://ift.tt/2xZqObM October 04, 2017 at 08:04PM
0 notes
automedia-tanzania · 7 years
Link
http://ift.tt/2fS5wqD October 04, 2017 at 06:43PM
0 notes
automedia-tanzania · 7 years
Link
http://ift.tt/2xRapHd October 04, 2017 at 08:20PM
0 notes
automedia-tanzania · 7 years
Link
http://ift.tt/2fKF4eK October 04, 2017 at 05:44PM
0 notes
automedia-tanzania · 7 years
Link
http://ift.tt/2xRSQa9 October 04, 2017 at 06:49PM
0 notes
automedia-tanzania · 7 years
Link
http://ift.tt/eA8V8J October 04, 2017 at 03:38PM
0 notes
automedia-tanzania · 7 years
Link
http://ift.tt/2xTAWRN October 04, 2017 at 08:01PM
0 notes
automedia-tanzania · 7 years
Link
http://ift.tt/eA8V8J October 04, 2017 at 05:24PM
0 notes