Tumgik
#sauti kuu
mnaasilveira · 3 months
Text
Wakati Kristo Alikufa Msalabani
______________________________________________________________ ______________________________________________________________ Naye Yesu akalia tena kwa sauti kuu, akamtoa Roho wake. Basi, pazia la Hekalu likapasuka kutoka juu hadi chini. Na nchi ikatetemeka, miamba ikapasuka, makaburi yakafunguka. Na miili ya watakatifu wengi waliokuwa wamelala ikafufuliwa. Na baada ya kufufuka kwake, alitoka…
View On WordPress
0 notes
rwizakakiza · 9 months
Text
https://chat.whatsapp.com/L5guz6mNaec8X0KtlcNVBb
(Please join)
Tumaini Jipya Ndani ya YESU KRISTO.
6. NAFASI YA MWANA WA MUNGU
Tuendelea na haki zilozomo kwenye nafasi ya kuwa Mwana wa MUNGU.
6.(e). HESHIMA KUBWA.
Tumeona Haki ya kuheshimiwa ilikuwa inajitokeza, lakini ya leo ni heshima iliyozidi, Yohana aliheshimika, lakini alipokuja YESU aliona hastahili, kwa heshima aliyonayo YESU.
......Kweli mimi nawabatiza kwa maji kwa ajili ya toba; bali yeye ajaye nyuma yangu ana nguvu kuliko mimi, wala sistahili hata kuvichukua viatu vyake; yeye atawabatiza kwa Roho Mtakatifu na kwa moto.
........Mathayo 3:11......
Mfano.
Serikalini unaweza kuwa na vyeo vingi sana tena vyenye heshima, lakini akija mtoto wa Raisi, heshima anayopewa ni kubwa kuliko wewe, Ingawaje huenda hajasoma kuliko wewe. Fikiri wewe Mwana wa MUNGU aliyeumba kila kitu una heshima kubwa kiasi gani, mpaka mamlaka ya giza inatambua wewe ni mwana wa MUNGU.
......Mtu mwenye pepo akamsujudia, akapiga kelele kwa sauti kuu, akasema, Nina nini nawe, YESU, Mwana wa MUNGU aliye juu? Nakuapisha kwa Mungu usinitese.
......Marko 5:6-7....
Ili haki hii ifanye kazi kwako, lazima ujitambue, Wewe ni mwana na Ukae kwenye nafasi kama mwana wa MUNGU kweli.
6.(f). MAJARIBU YA KUKUIMARISHA.
>Haki hii inakusaidia kuimarisha imani yako kwa BABA yako wa mbinguni, hivyo Mwana ili awe imara kwa ajili ya kurithi Ufalme, lazima ajengwe namna ya kuongoza na kuamua, mafundisho hayo yanakuja kwa njia ya majaribu, ili aweze kutawala vyema.
.....na kama tu wana, basi, tu warithi; warithi wa MUNGU, warithio pamoja na KRISTO; naam, TUKITESWA pamoja naye ili tupate na KUTUKUZWA pamoja naye.
.......Rumi 8:17....
YESU KRISTO kama mwana wa MUNGU alijaribiwa, na Wewe kama mwana wa MUNGU lazima majaribu yapo, kwa ajili ya KUKUIMARISHA sio kukuua, kama unavyosoma hapa,
.......Mwanangu, ukija kumtumikia BWANA, Weka tayari roho yako kwa kujaribiwa. Ujitengeneze moyo ustahimili, wala isitaharuki siku ya kuteswa. Uambatane naye wala usijitenge, ili mwisho wako ukuzwe. Kila utakaloletewa ulipokee kwa kuchangamka moyo, uvumilie mabadiliko ya tabia yako.
......Ybs 2:1‭-‬11....
6.(g). KUHARIBU KAZI ZA IBILISI.
💬......Tutaendelea.
Rejea
Ybs 2:10
@2023 the greatest Glory for me.
1 note · View note
mateoshija · 10 months
Text
Mwabudu Mungu Pekee
Na huko Listra palikuwa na mtu mmoja, dhaifu wa miguu, kiwete tangu tumboni mwa mamaye, ambaye hajaenda kabisa.  Mtu huyo alimsikia Paulo alipokuwa akinena; ambaye akamkazia macho na kuona ya kuwa ana imani ya kuponywa, akasema kwa sauti kuu, Simama kwa miguu yako sawasawa. Akasimama upesi akaenda.  Na makutano walipoona aliyoyafanya Paulo wakapaza sauti zao, wakisema kwa Kilikaonia, Miungu…
View On WordPress
0 notes
gyrlversion · 2 years
Photo
Tumblr media
𝗕𝗮𝗿𝗮𝗰𝗸 𝗢𝗯𝗮𝗺𝗮 𝗮𝗻𝗱 𝗛𝗶𝘀 𝗦𝗶𝘀𝘁𝗲𝗿𝘀 𝗠𝗮𝘆𝗮 𝗮𝗻𝗱 𝗔𝘂𝗺𝗮 ......................................................... Have you met Auma Obama and Maya Soetoro-Ng Auma Obama lives in Kenya, where she runs the Sauti Kuu (Powerful Voices) Foundation, an organization she started to help young underprivileged girls. Maya Soetoro-Ng Is the Director of the Spark M. Matsunaga Institute for Peace based in Hawaii. She is also a consultant for the Obama Foundation, focusing specifically in the Asia-Pacific region, prior to she was a teacher Follow if you are keeping up with historical celebrity trends #sashaobama #theobamas #maliaobama #Michelleobama #violadavis #sashaandmalia #Obamafamily #barackandmichelle #news #popculture #newspage #facts #fact #entertainment #entertainmentnews https://www.instagram.com/p/Cik6V4EuH7l/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
1111155555 · 3 years
Link
I Welcome you to read Tanzania news today
1 note · View note
masindecharles2022 · 2 years
Text
AMBAYE ANAAMINI NA KUTUBU KATIKA MTAKATIFU MWENYENGUVU BWANA YESU KRISTO NI LAZIMA ABATIZWE KWA KUZAMISHWA NDANI YA MAJI KATIKA JINA LA BABA, NA JINA LA MWANA NA ROHO MTAKATIFU;KWA AJILI YA ONDOLEO LA DHAMBI NA KUPOKEA KIPAWA CHA ROHO MTAKATIFU NA KWA AJILI YA WOKOVU NA UKOMBOZI.
FUNGU KUU : WAEBRANIA 9:26
26. Kadhaika KRISTO Naye,Akiisha KUTOLEWA SADAKA Mara Moja AZICHUKUE DHAMBI za Watu Wengi ;ATATOKEA MARA YA PILI, PASIPO DHAMBI, KWA HAO WAMTAZAMIAO KWA WOKOVU.
UTANGULIZI
I. UBATIZO
Ni KANUNI na PROGRAMU na UTARATIBU wa KUZAMISHWA NDANI YA MAJI Kwa Ajili ya USAJILI na UTAKASO na ONDOLEO LA DHAMBI Kwa Waumini Wapya na Kisha Kuzaliwa Mara ya Pili na kuwa KIUMBE KIPYA na kisha kutimiza HAKI yote Hipatikanayo kwa IMANI(NEEMA na REHEMA zake MTAKATIFU BWANA MUNGU Kupitia MTAKATIFU KRISTO YESU) Katika KANISA TAKATIFU la MTAKATIFU BWANA YESU KRISTO, PROGRAMU Hii ilianzishwa na MTAKATIFU KRISTO YESU na itaendelea kutendeka hadi MTAKATIFU BWANA YESU KRISTO Arudipo Mara ya Pili.
MATHAYO 28:18-20.
18.YESU akaja kwao,Akasema nao,akawaambia ,NIMEPEWA MAMLAKA YOTE MBINGUNI NA DUNIANI. 19 Basi ENENDENI ,MKAWAFANYE MATAIFA YOTE KUWA WANAFUNZI, MKIWABATIZA KWA JINA LA BABA, NA JINA LA MWANA NA ROHO MTAKATIFU. 20 Na Kuwafundisha Kuyashika Yote Niliyowaamuru Ninyi, Na tazama ,MIMI NIPO PAMOJA NANYI SIKU ZOTE, HATA UKAMILIFU WA DAHARI.UBATIZO ni Neno la Kigiriki linalo Maanisha KUZAMA au KUZAMISHWA NDANI YA MAJI. Neno UBATIZO limetumika katika Biblia Takatifu, katika Agano la Kale na Agano Jipya kwa kumaanisha KUZAMISHWA na Neno sawa nalo SAFISHA ,KUOSHA au Osha.
UBATIZO UTAKASA NA KUONDOA DHAMBI.
WAEBRANIA 9:13,14,22,28.
13. Kwa Maana, Ikiwa damu ya mbuzi na mafahali na majivu ya ndama ya ng'ombe Waliyonyunyiziwa WENYE UCHAFU HUTAKASA HATA KUUSAFISHA MWILI; 14 .BASI SI ZAIDI DAMU YAKE KRISTO, Ambaye kwamba kwa ROHO WA MILELE ALIJITOA NAFSI YAKE KWA MUNGU kuwa SADAKA Isiyo na Mawaa,ITAWASAFISHA DHAMIRI ZENU NA MATENDO MAFU,MPATE KUMWABUDU MUNGU ALIYE HAI? 22.Na katika TORATI KARIBU vitu vyote HUSAFISHWA KWA DAMU,NA PASIPO KUMWAGA DAMU HAKUNA ONDOLEO.
UBATIZO NI KUZALIWA MARA YA PILI KWA MAJI NA KWA ROHO.
YOHANA 3:3-8
3. YESU Akajibu, Akamwambia, AMIN, AMIN, NAKUAMBIA ,MTU ASIPOZALIWA MARA YA PILI,HAWEZI KUUONA UFALME WA MUNGU.
4.Nikodemo akamwambia;Awezaje Mtu KUZALIWA,Akiwa Mzee?Awezaje Kuingia Tumboni Mwa Mamaye Mara ya Pili Akazaliwa?
5.YESU Akajibu, AMIN,AMIN, Nakuambia;Mtu Asipozaliwa kwa MAJI na kwa ROHO HAWEZI KUINGIA UFALME WA MUNGU.
6.KILICHO ZALIWA KWA MWILI NI MWILI;NA KILICHOZALIWA KWA ROHO NI ROHO.
7.USISTAAJABU KWA KUWA NILIKUAMBIA,HAMNA BUDI KUZALIWA MARA YA PILI.
8.UPEPO UVUMA UPENDAKO,NA SAUTI YAKE WAISIKIA ,LAKINI HUJUI UNAKO TOKA WALA UNAKO KWENDA;KADHALIKA NA HALI YAKE KILA MTU ALIYEZALIWA KWA ROHO.
2 WAKORINTHO 5:17
17. Hata Imekuwa ,Mtu akiwa NDANI YA KRISTO amekuwa KIUMBE KIPYA;ya kale yamepita na tazama yamekuwa Mapya.
II. DHAMBI
1. Ni KUKIUKA au KUVUNJA au Kufanya UHALIFU dhidi ya SHERIA TAKATIFU YA MTAKATIFU BWANA MUNGU, MUUMBAJI na MKOMBOZI. Kwa KUTOKUJALI au KUTOHESHIMU SHERIA TAKATIFU (AMRI KUMI TAKATIFU).
2. Ni tendo lolote linalotendeka au Kutendwa LISILO LA HAKI.
WARUMI 4:15
15. Kwa Sababu SHERIA NDIYO IFANYAO HASIRA;MAANA PASIPO KUWAPO SHERIA, HAPANA KOSA.
1YOHANA 5:17
17. Kila lisilo la HAKI ni DHAMBI, NA DHAMBI Iko Isiyo ya MAUTI.
WARUMI 3:23
23.Kwa Sababu Wote Wamefanya DHAMBI, na KUPUNGUKIWA NA UTUKUFU WA MUNGU.
III. IMANI
Ni KUSADIKI KIKAMILIFU,Msingi wa Imani Uko juu ya WELEWA au HOFU YA KIROHO badala ya USHAIDI.
WAEBRANIA 11:1-3,7,29.
1. BASI IMANI NI KUWA NA HAKIKA YA MAMBO YATARAJIWAYO, NI BAYANA YA MAMBO YASIYOONEKANA.
2.Maana kwa hiyo Wazee Wetu Walishuhudiwa. 3. Kwa IMANI TWAFAHAMU KUWA ULIMWENGU ULIUMBWA KWA NENO la MUNGU, HATA VITU VINAVYOONEKANA HAVIKUFANYIKA KWA VITU VILIVYO DHAHIRI.
7. Kwa IMANI Nuhu akiisha KUONYWA NA MUNGU katika Habari za MAMBO YASIYOONEKANA bado,Kwa JINSI ALIVYOMCHA MUNGU ALIUNDA SAFINA ,APATE KUOKOA NYUMBA YAKE. Na hivyo AKAUHUKUMU MAKOSA ULIMWENGU,akawa Mrithi wa HAKI IPATIKANAYO KWA IMANI.
29. Kwa IMANI WAKAPITA KATI YA BAHARI YA SHAMU,KAMA Katika Nchi KAVU; Wamisri WALIPO JARIBU KUFANYA VIVYO WAKATOSHWA.
PASIPO IMANI HAIWEZEKANI KUMPENDEZA MTAKATIFU BWANA MUNGU.
WAEBRANIA 11:6
6.Lakini PASIPO IMANI HAIWEZEKANI KUMPENDEZA;Kwa Maana Mtu Amwendeaye MUNGU LAZIMA AAMINI KWAMBA YEYE YUKO,NA KWAMBA HUWAPA THAWABU WALE WAMTAFUTAO.
2 WAKORINTHO 5:7
7.Maana TWAENENDA KWA IMANI, SI KWA KUONA.
AMBAYE ANAAMINI KATIKA MTAKATIFU MWENYENGUVU BWANA YESU KRISTO ,ATO POTEA, BALI ATAPATA UZIMA WA MILELE.
YOHANA 3:15-16.
15.Ili kila Mtu AAMINIYE AWE NA UZIMA WA MILELE katika YEYE.
16.Kwa Maana Jinsi Hii MUNGU ALIUPENDA ULIMWENGU ,HATA AKAMTOA MWANAWE PEKEE ,ILI KILA MTU AMWAMINIYE ASIPOTEE bali awe na UZIMA WA MILELE .
IV . REHEMA
Ni HURUMA au MSAMAHA ambao UTHIBITISHWA Kuelekea kwa Mtu Ambaye Yuko ndani y Kupewa ADHABU au KUUMIZWA kwa Ajili ya KOSA au Makosa Fulani.
Kupitia DHABIHU YENYE THAMANI ya Mauti ya MSALABA KALVARI ya MTAKATIFU BWANA YESU KRISTO NJIA Iko WAZI KWA ZOEZI LA REHEMA KUELEKEA Watu Wote REHEMA na KWELI UKUTANA PAMOJA. REHEMA Pia ni NEEMA ya MKRISTO.
KUTOKA 20:6
6. Nami NAWAREHEMU MAELFU ELFU WANIPENDAO, NA KUZISHIKA AMRI ZANGU.
MATHAYO 5:7
7. Heri Wenye REHEMA Maana HAO WATAPATA REHEMA.
MATHAYO 18:33-35
33. Nawe,Je ! Haikukupasa KUMREHEMU Mjoli wako,Kama Mimi NILIVYOKUREHEMU Wewe?
34. Bwana wake akaghadhibika ,Akampeleka kwa Watesaji,hata atakapoilipa deni ile yote.
35. Ndivyo na BABA yangu wa MBINGUNI atakavyowatenda Ninyi,MSIPOSAMEHE KWA MIOYO YENU KILA MTU NDUGU YAKE.
V. NEEMA (UZURI)
Katika IMANI ya MKRISTO, Ni Fadhili(MSAMAHA),Ukarimu, huru na Isiyo na KIPIMO za MTAKATIFU BWANA MUNGU, Ambayo Imeonyweshwa Katika WOKOVU au WOKOZI wa Wenye DHAMBI, Na Kutoa BARAKA.Karama zinazotolewa na MTAKATIFU BWANA MUNGU.
MWANZO 6:8
8.Lakini Nuhu akapata NEEMA MACHONI Pa BWANA.
1 WAKORINTHO 15:10
10.Lakini kwa NEEMA ya MUNGU Nimekuwa Hivi Nilivyo;Na NEEMA yake Ilivyo kwangu ILIKUWA SI BURE,BALI NALIZIDI SANA KUFANYA KAZI KUPITA WAO WOTE;WALA SI MIMI BALI NI NEEMA YA MUNGU PAMOJA NAMI.
2 WAKORINTHO 8:7
7. Lakini Kama Mlivyo na WINGI WA MAMBO YOTE;IMANI,Na USEMI,na ELIMU, na BIDII Yote,Na UPENDO wenu kwetu sisi;Basi Vivyo hivyo MPATE WINGI WA NEEMA HII PIA.
WARUMI 6:14
14. Kwa Maana DHAMBI HAITAWATAWALA NINYI, KWA SABABU HAMWI CHINI YA SHERIA, BALI CHINI YA NEEMA.
SOMO :
UBATIZO WA MAJI NA ROHO MTAKATIFU .
1.NANI ANAYEWEZA KUAMINI NA KUTUBU NA KISHA KUBATIZWA?
Anayeweza KUAMINI na KUTUBU Kisha kufanya Maamuzi binafsi na Kisha KUBATIZWA NI MTU MZIMA TU(BALEHE),Watoto AWAWEZI KUAMINI NA KUTUBU KISHA KUFANYA MAAMUZI BINAFSI YALIYO SAHIHI. Na UBATIZO ni KWAO WAAMINIO na KUTUBU na KISHA KUFANYA MAAMUZI BINAFSI SAHIHI;Na Kisha KUBATIZWA. BIBLIA TAKATIFU AIKUKAA KIMYA KATIKA HILI HIKO WAZI.
MATENDO 5:14
14. WALIOAMINI Wakazidi Kuongezeka kwa BWANA, WENGI, WANAUME na WANAWAKE.
MATENDO 2:41
41. Nao WALIOLIPOKEA NENO LAKE WAKABATIZWA ;Na siku ile Wakaongezeka Watu WAPATA ELFU TATU.
LUKA 13:5
5.NAWAAMBIA ,SIVYO,LAKINI MSIPOTUBU,NINYI NYOTE MTAANGAMIA VIVYO HIVYO.
2. WOKOVU NA WOKOZI NI KWAO WAAMINIO KATIKA MTAKATIFU MWENYENGUVU BWANA YESU KRISTO.
YOHANA 3:16
16. Kwa Maana Jinsi Hii MUNGU ALIUPENDA ULIMWENGU, HATA AKAMTOA MWANAWE PEKEE, ILI KILA MTU AMWAMINIYE ASIPOTEE,BALI AWE NA UZIMA WA MILELE.
MATENDO 5:31
31. Mtu huyo MUNGU AMEMTUKUZA KWA MKONO WAKE WA KUUME AWE MKUU NA MWOKOZI, AWAPE WAISRAELI TOBA na MSAMAHA WA DHAMBI.
YEREMIA 23:6
6. Katika siku zake Yuda ATAOKOLEWA ,na Israeli ATAKAA SALAMA, na JINA lake ATAKALOITIWA ni Hili, BWANA NI HAKI YETU.
3. MITUME WA MTAKATIFU MWENYENGUVU BWANA YESU KRISTO WALIBATIZWA KWA ROHO MTAKATIFU NA MOTO.
MATHAYO 3:11
11. KWELI Mimi Nawabatiza kwa MAJI KWA AJILI YA TOBA;BALI YEYE AJAYE NYUMA YANGU ANA NGUVU KULIKO MIMI, WALA SISTAHILI HATA KUVICHUKUA VIATU VYAKE,YEYE AKAWABATIZA KWA ROHO MTAKATIFU NA MOTO.
MATENDO 2:1-4
1. Hata ilipotimia Siku ya PENTEKOSTE Walikuwako wote Mahali Pamoja.
2. Kukaja GHAFULA TOKA MBINGUNI UVUMI WA UPEPO WA NGUVU UKIENDA KASI,UKAIJAZA NYUMBA YOTE WALIOKUWA WAMEKETI.
3. KUKAWATOKEA NDIMI ZILIZO GAWANYIKANA,KAMA NDIMI ZA MOTO ULIOWAKALIA KILA MMOJA WAO.
4. WOTE WAKAJAZWA ROHO MTAKATIFU, WAKAANZA KUSEMA KWA LUGHA NYINGINE,KAMA ROHO ALIVYOWAJALIA KUTAMKA.
4. MTAKATIFU MWENYENGUVU BWANA YESU KRISTO ALIBATIZWAJE?
MTAKATIFU MWENYENGUVU BWANA YESU KRISTO Ndiye MWANZILISHI na MWASISI wa IMANI ya KIKISTO na KANISA TAKATIFU Hili la KIKISTO ULIMWENGU KOTE na Yeye Ndiye atakaye IKAMILISHA KAZI YOTE.Kwa Sababu PASIPO YEYE KUWA NASI ATUWEZI KWENDA.
Hivyo basi YEYE NI KIELELEZO CHA IMANI YA KIKISTO, Na Tunapaswa KUFUATA NYAYO ZAKE,Ili Kupata MAFANIKIO Katika KANISA LAKE TAKATIFU.
YEYE ALIBATIZWA SI KWA SABABU YA TOBA AU DHAMBI LA ,YEYE AKUTENDA DHAMBI,NA ATO TENDA DHAMBI, KWA SABABU YEYE NI MUNGU PAMOJA NASI(IMANUELI ).
MATHAYO 1:23
23. TAZAMA ,Bikira atachukua Mimba ,Naye ATAZAA MWANA;Nao WATAMWITA JINA LAKE IMANUELI; YAANI ,MUNGU PAMOJA NASI.
Hivyo Basi YEYE ALIBATIZWA KUWA KIELELEZO na KUITIMIZA HAKI YOTE TU.
MATHAYO 3:13,16
13. Wakati huo YESU Akaja kutoka Galilaya Mpaka JORDAN kwa Yohana ili ABATIZWE.
16. Naye YESU alipokwisha KUBATIZWA MARA AKAPANDA KUTOKA MAJINI;NA TAZAMA ,MBINGU ZIKA MFUNUKIA,AKAMWONA ROHO WA MUNGU AKISHUKA KAMA HUA,AKIJA JUU YAKE.
5.UBATIZO WA MAJI NA ROHO MTAKATIFU NI KUTIMIZA HAKI YOTE.
MATHAYO 3:14-15
14. Lakini Yohana alitaka Kumzuia,Akisema Mimi NAHITAJI KUBATIZWA NA WEWE, NAWE WAJA KWANGU.
15. YESU AKAJIBU ,AKAMWAMBIA ,KUBALI HIVI SASA ,Kwa kuwa NDIVYO ITUPASAVYO KUHITIMIZA HAKI YOTE.BASI AKAMKUBALI.
6.MTAKATIFU MWENYENGUVU BWANA YESU KRISTO ALISEMA NI NANI KUOKOLEWA?
MARKO 16:15,16
15. Akawaambia ENENDENI ULIMWENGUNI MWOTE ,MKAIHUBIRI INJILI KWA KILA KIUMBE.
16. AAMINIYE na KUBATIZWA ATAOKOKA;ASIYEAMINI ATAHUKUMIWA.
7.UBATIZO NI KUZIKWA NA KUFUFULIWA PAMOJA NA MTAKATIFU MWENYENGUVU BWANA YESU KRISTO.
WAKOLOSAI 12:12
12. MKAZIKWA Pamoja naye katika UBATIZO;na katika huo MTAFUNULIWA Pamoja naye,kwa KUZIAMINI NGUVU ZA MUNGU ALIYEMFUFUA KATIKA WAFU.
8. MTAKATIFU MWENYENGUVU BWANA YESU KRISTO NI ALFA NA OMEGA, MAWAZO NA MWISHO.
UFUNUO 1:8
8. MIMI NI ALFA NA OMEGA, MWANZO NA MWISHO.ASEMA BWANA MUNGU, ALIYEKO NA ALIYEKUWAKO NA ATAKAYEKUJA,MWENYEZI.
9.MTAKATIFU MWENYENGUVU BWANA YESU KRISTO YU HAI MILELE,NA YEYE PEKEE NDIYE MWENYE FUNGUO ZA MAUTI NA ZA KUZIMU.
UFUNUO 1:18
18.Na Aliye HAI;NAMI NALIKUWA NIMEKUFA ,NA TAZAMA, NI HAI HATA MILELE NA MILELE. NAMI NINA FUNGUO ZA MAUTI NA ZA KUZIMU.
10. WAFUASI WA MTAKATIFU MWENYENGUVU BWANA YESU KRISTO WANAPASWA KUISHIJE?
FUATA NYAYO ZA MTAKATIFU MWENYENGUVU BWANA YESU KRISTO, JIFUNZE KWAKE ,MTAZAME YEYE .
1 YOHANA 2:6
6.YEYE ASEMAYE YA KUWA ANAKAA NDANI YAKE,IMEMPASA KUENENDA MWENYEWE VILEVILE KAMA YEYE ALIVYO ENENDA.
3 notes · View notes
henrithad · 5 years
Photo
Tumblr media Tumblr media Tumblr media Tumblr media Tumblr media Tumblr media Tumblr media
Sikia wimbo eh moyo ukiimba kwa sauti kuu.Nipe japo neno nipate kitulizo kamili.—HTM
2 notes · View notes
text-ur · 7 years
Link
0 notes
yahoonewsphotos · 6 years
Photo
Tumblr media Tumblr media Tumblr media Tumblr media
Obama visits father's native Kenya to open youth center
Former US president Barack Obama paid a visit to his extended family in Kenya Monday, on his first trip to the country since 2015 during which he will open a youth center.
Obama arrived in his father’s native Kenya on Sunday, where he paid courtesy calls on President Uhuru Kenyatta and main opposition leader Raila Odinga.
On Monday he flew to the west of the country, where under extremely tight security he paid a visit to the home of his step-grandmother Sarah Obama in the village of Kogelo, an AFP reporter said.
He was expected to meet a number of members of his extended family, before launching the Sauti Kuu (Swahili for “Strong Voices”) center set up by his half-sister Auma Obama.
Addressing the media last week, Auma said the state-of-the-art centre would give local youth access to books, internet and sporting activities.
They will also be able to benefit from classes on work ethics, civic education, environmental conservation and financial literacy.
The center includes an international standard size football pitch sponsored by the German ministry of development cooperation, a basketball court funded by the Giants of Africa Foundation, and a volleyball/netball court and other facilities, including a library and IT lab.
The center is set to also offer adult education.
When Obama visited Kenya in 2015, he was unable to visit his father’s village due to security concerns, and vowed to return when he was no longer “wearing a suit” and contribute to the development of young people.
After his visit to Kenya, Obama will fly to South Africa where he will deliver the annual Nelson Mandela lecture.  (AFP)
(Photos: Tony Karumba/AFP/Getty Images, Dai Kurokawa/EPA-EFE/REX/Shutterstock, Tony Karumba/AFP/Getty Images, Thomas Mukoya/Reuters)
_____
See more images from Obama in Kenya and our other photo galleries on Yahoo News.
Follow us on Twitter.
127 notes · View notes
mnaasilveira · 9 months
Link
0 notes
Photo
Tumblr media Tumblr media
(via Two Songs)
546 - The Coming King Is at the Door
1.The coming King is at the door, Who once for cross for sinners bore, But now the righteous ones alone, He comes to gather home.
Refrain At the door, at the door, At the door, yes even at the door, He is coming, He is coming, He is even at the door.
2. The signs that show His coming near, Are fast fulfilling year by year, And soon we'll hail the glorious dawn, Of heav'n's eternal morn.
3. Look not on earth for strife to cease, Look not below for joy and peace, Until the Saviour comes again To banish death and sin.
4. Then in the glorious earth made new We'll dwell the countless ages through; This mortal shall immortal be, And time, eternity.
157 - Mfalme Yu Mlangoni "The Coming King"
1 Mfalme yu mlangoni, Ndiye aliyetufia; Mara wote wampendao atawakusanya.
Chorus Yuaja, yuaja, mlangoni anasimama; Anakuja, anakuja, Kuja kwake karibu.
2 Dalili za kuja kwake Zinazidi kutimizwa; Karibu wateule watamlaki Bwana.
3 `Sitafute duniani amani wala furaha, Mpaka Bwana arudi dhambi kuondoa.
4 Tutakaa na Mwokozi Makaoni ya milele; Daima tutafurahi kuwa watu wake.
157
439 - How Far From Home?
Major Key: D Flat
1 How far from home? I asked, as on I bent my steps-the watchman spake: The long, dark night is almost gone, The morning soon will break. Then weep no more, but speed thy flight, With Hope's bright star guiding ray, Till thou shalt reach the realms of light, In everlasting days.
2 I asked the warrior on the field; This was his soul-inspiring song: With courage, bold, the sword I'll wield, The battle is not long. Then weep no more, but well endure The conflict, till thy work is done; For this we know, the prize is sure, When victory is won.
3 I asked again; earth, sea, and sun Seemed, with one voice, to make reply: Time's wasting sands are nearly run, Eternity is nigh. Then weep no more-with warning tones, Portentous signs are thickening round, The whole creation, waiting, groans, To hear the trumpet sound.
4 Not far from home! O blessed thought! The traveler's lonely heart to cheer; Which oft a healing balm has brought, And dried the mourner's tear. Then weep no more, since we shall meet Where weary footsteps never roam- Our trials past, our joys complete, Safe in our Father's home.
439
158 - U Mwendo Gani Nyumbani? "How Far From Home?"
1 U mwendo gain nyumbani? Mlinzi akanijibu, "Usiku sasa waisha, macheo karibu." Usihuzunike tena, bali ulemee mwendo Hata ushike ufalme kule mwangani juu.
2 Na tena niliuliza, nchi yote ikajibu; "Sasa mwendo watimika, milele karibu." Usihuzunike tena, ishara kuu zasonga Na viumbe vyangojea sauti ya Bwana.
3 Nikamwuliza shujaa, ndivyo kanitia moyo: "Shikilia mapigano, kitambo yaisha." Usihuzunike tena, kazi ifanywe kwa moyo; Tumeahidiwa tunu tuishapo shinda.
4 Siyo mbali na nyumbani! Fikira tamu njiani, Latupoza roho, nalo lafuta machozi. Usihuzunike tena, kitambo tutakutana Wenye furaha kamili nyumbani mwa Baba
158
Come now at www.klossycloss.com and let us sing praise songs to Our Eternal King, The Lord Jesus Christ
0 notes
sariaisrael · 3 years
Text
Ujio wa Chikwende ndiyo mwisho wa Morrison ?
Ujio wa Chikwende ndiyo mwisho wa Morrison ?
Jana kuna vitu viwili vilitokea jana ambavyo ni vya kufikirisha sana. Kitu cha kwanza ni kuhusiana na Bernand Morrison. Jana kulisambaa sauti ya mmoja wa wajumbe wa bodi ya Simba , Kassim Dewji. Sauti hiyo ilikuwa ikielezea sababu kuu ya kwanini Bernard Morrison hachezi kwenye mechi za hivi karibuni. Bernard Morrison alionekana kwenye wachezaji wa akiba kwenye mechi zote za mashindano ya…
Tumblr media
View On WordPress
0 notes
adventisttoday · 4 years
Photo
Tumblr media
By Tyson Jacob with Daniel Bulengela, 16 August 2020 | A donor who is a Christian, but not an Adventist has funded the construction of a new facility for the local Seventh-day Adventist Church in Kinesi, Tanzania. A woman with a PhD degree who resides in Dar es Salaam, the generous benefactor insists on remaining anonymous, but agreed to be interviewed by Sauti Kuu, the news magazine of the denomination in Tanzania. Asked why she decided to build the church, she said, “I heard the voice of the Holy Spirit whispering. … I have built the church not for fame, but for the accomplishment of God’s purpose.” Her grandfather provided the land on which the new facility is being constructed, and she commented, “we are doing a genealogical work and finishing our parent’s work by extending the blessings.” Asked why she decided to build an Adventist church although she belongs to a different denomination, she said that her denomination “is very stable and can build any number of facilities. I also believe that all religions preach the same message. I see building this modern church to attract people for worship and so my fellow Kinesi natives can be saved.” In addition to the construction of the church building, she has also built a good road both to assist the community in daily activities and make it easy to get to the church. She has also bought fruit trees and is providing for the planting of lawns to beautify the facility “for a peaceful worship environment.” The building will also be equipped with air conditioning and a friend of the donor contributed by installing the electrical conduit. “I have installed benches made from rare timber instead of plastic chairs,” the woman said, stressing her wish for a very high quality facility. The construction is about 70 percent complete with a total budget of about $300,000 (U.S. dollars). It is expected to be one of the best local church facilities in the denomination’s Mara Conference. Samwel Irungu is the supervisor of the construction project, an experienced contractor and the brother of the donor. He explained that their late grandfather gave the land to the church and built a building that lasted for twenty years. It is being replaced by this modern facility. Pastor Godwin Lekundayo, the president of Northern Tanzania Union Conference, visited the Kinesi Adventist Church recently and “thanked God for this generous woman. I haven’t met her,” he said. “I will write her a letter to thank her.” There are more than 3,000 Adventist congregations in the eastern African nation and upwards to one million adherents, including the children in Adventist families. Before you go… We are living in unprecedented times. Physical gatherings like a weekly church service are not possible in many parts of the world. But meaningful community is more important than ever. Adventist Today works hard to provide you with an extended family that values independent news, commentary and conversation in the Adventist community. In the last few months we’ve also added two new weekly innovations: our stimulating Sabbath Seminar and the uplifting Anticipating AT1 video programming. To do all this, we really need your help and financial support, especially right now, during our AT Summer Fundraiser. So please check out the article above, share it with your friends and help us continue to bring you excellent, informative and encouraging content. You can donate one time by clicking this link: https://ift.tt/2LOOdmd or monthly by clicking this one: https://ift.tt/34F3Jtv You can also give via an IRA Qualified Charitable Distribution here: https://ift.tt/2UVqZiR or call us toll-free at 800.236.3641 https://ift.tt/3hgtaYl https://ift.tt/30ZZAAw
0 notes
mazallaposts · 6 years
Text
" Wafanyakazi wa taasisi za redio wamekumbushwa wajibu wao kama ilivyo chombo chochote cha habari..."
Wafanyakazi wa taasisi za redio wamekumbushwa wajibu wao kama ilivyo chombo chochote cha habari kuwa matarishi wa amani, upendo, mshikamano na kuhuisha maendeleo. 
Aidha wameambiwa kwamba kwa kuwa Redio ina nguvu kuliko chombo chochote kingine duniani kwa kuwafikia watu wengi zaidi hivyo basi wanatakiwa kuwa makini wanapowafikishia wananchi taarifa.
Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe katika hotuba yake iliyosomwa na Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Juliana Shonza katika maadhimisho ya Siku ya Redio Duniani yaliyofanyika Dodoma ambaye alitaka taarifa kwa wananchi kufikishwa bila ushabiki, chuki au kupiga chuku (kuongeza chumvi). 
Alisema tasnia ya uandishi wa Habari ni tasinia adhimu sana, hivyo Waandishi wote wa Habari wanalo jukumu kubwa la kuzingatia misingi ya uandishi ambayo ni mizania (balancing), kutofungamana na upande wowote (impartiality), kutenda haki (fairness), Utu (humanity), na mwisho kabisa kuzingatia ukweli (truthness). 
Siku ya Redio Duniani huadhimishwa kila mwaka duniani kote Tarehe 13 mwezi Februari ili kutambua mchango mkubwa unaotolewa na Redio mahali pote duniani.
Aliwakumbusha waandishi na wageni historia ngumu na mbaya ya namna redio zilivyotumika vibaya katika baadhi ya nchi duniani na kuleta machafuko hadi umwagaji damu. 
“Hivyo niwaase tena kutumia redio hizo na vipaza sauti kwa ajili ya kutoa taarifa muhimu juu ya masuala ya kilimo na ufugaji, majanga mbalimbali, elimu juu ya sera na sheria mbalimbali za nchi, masuala ya afya kwa jamii na elimu. Na kwa kufanya hivyo tu, ndipo tutakuwa tumeitendea haki tasnia hii.” alisema Dk. Shonza.
Mgeni rasmi Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mh. Juliana Shonza akisoma hotuba kwa niaba ya Waziri wa Wizara hiyo, Dk. Harrison Mwakyembe katika sherehe za maadhimisho ya Siku ya Redio Duniani zilizofanyika Mjini Dodoma.
Aidha alipongeza kauli mbiu ya mwaka huu Redio na Michezo na kutoa rai kwa waandishi wote wa habari kudumisha mila na desturi za Kitanzania na kuongea Kiswahili fasaha bila kuchanganya na lugha zingine kama Kiingereza maarufu kama Kiswanglish. 
Aidha Waziri Mwakyembe alishukuru Shirika la UNESCO na Mtandao wa Redio Jamii Tanzania (TADIO) kwa kuwezesha siku ya redio na kusema atatafakari hoja zote zilizowasilsihwa kwake. Naye Katibu wa Mtadao wa Radio Jamii (TADIO), Marco Mipawa akisoma hotuba kwa niaba ya Mwenyekiti wa mtandao huo, Prosper Kwigize alitaka serikali kuhakikisha kwamba urasimu unaondolewa kwenye utoaji wa taarifa kwa umma ili kuwezesha kufanyika kwa vipindi mbalimbali vya habari.
Katibu wa Mtandao wa Radio za Jamii nchini (TADIO), Marco Mipawa akisoma hotuba kwa niaba ya Mwenyekiti wa Mtandao huo, Prosper Kwigize wakati maadhimisho ya Siku ya Redio Duniani yaliyofanyika mjini Dodoma kwa ufadhili wa UNESCO.
Alitaka Tamisemi kuweka utaratibu wa utoaji habari katika mfumo rahisi ili wananchi wafahamu kinachotekelezwa na serikali yao. 
Aidha maafisa habari walioajiriwa wapewe mamlaka na wawezeshwe kufahamu kinachofanywa na serikali na wawe na ruhusa ya kutoa taarifa kwa vyombo vya habari katika maeneo yao. 
Aidha alisema kutokana kutokuwa na vyanzo vya mapato ya uhakika serikali ingeangalia suala la kodi na ushuru mbalimbali ili kusaidia Redio za Jamii kutolipia huduma za Radio.
Pia amesema sheria zilizopo ukilinganisha na mazingira halisi ya kazi ya mwanahabari, mfano sheria ya Takwimu, sheria ya huduma za habari, sheria ya makosa ya mtandao kumeshabibisha tasnia ya habari na utangazaji kuwa katika mashaka zaidi kuliko kipindi kilichopita.
Pia ameitaka Serikali kutoa Ruzuku ya elimu au mafunzo ya kitaaluma kwa wanahabari ili kuwawezesha kukidhi vigezo vya kisheria ifikapo 2021 Kaimu Mkuu wa Ofisi za Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) nchini, Faith Shayo amewataka waandishi na watangazaji kutumia redio kwa manufaa ya taifa kuleta mshikamano na pia kusukuma mbele gurudumu la maendeleo.
Kaimu Mkuu wa Ofisi za Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) nchini, Faith Shayo (wa pili kushoto) akitoa salamu za UNESCO wakati maadhimisho ya Siku ya Redio Duniani ambapo huadhimishwa kila mwaka tarehe 13 Februari yaliyofanyika mjini Dodoma na kuhudhuriwa na waandishi wa habari wa vyombo vya habari vya jamii kutoka Tanzania Bara na Visiwani pamoja na wadau wengine wa habari nchini. Kutoka kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mheshimiwa Dkt. Binilith Mahenge, Mgeni rasmi Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mh. Juliana Shonza (wa pili kulia) pamoja na Mkuu wa Mawasiliano na Habari wa Tume ya Taifa ya Unesco (NATCOM), Christina Musaroche (wa kwanza kushoto).
Aidha alikumbusha historia ya redio na kazi iliyofanya duniani na kusema kwamba umuhimu wa radio upo wazi na kutaka wahusika kuzitumia kwa manufaa ya umma unaowazunguka. 
Naye Mkuu wa Mawasiliano na Habari wa Tume ya Taifa ya Unesco (NATCOM), Christina Musaroche akitoa neno la shukrani kwa niaba ya Kaimu Katibu Mtendaji wa Tume hiyo Dk Moshi Kimizi, alitaka serikali na vyombo vya habari kushirikiana katika kuhimiza michezo kwa kuwa ndicho kinachowaleta wananchi pamoja.
Mkuu wa Mawasiliano na Habari wa Tume ya Taifa ya Unesco (NATCOM), Christina Musaroche akitoa neno la shukrani kwa niaba ya Kaimu Katibu Mtendaji wa tume hiyo Dk. Moshi Kimizi (hayupo pichani) wakati wa maadhimisho ya Siku ya Redio Duniani yaliyofanyika Mjini Dodoma.
Alisema anadhani redio na serikali vitaona njia bora ya kutangaza michezo kwa manufaa ya taifa. Awali akimkaribisha Mgeni rasmi Naibu Waziri wa Habari Mh. Shonza, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dk. Binilith Mahenge amesema Unesco inafanya kazi nzuri sana kwa kuwekeza kwenye vyombo vya Habari na kuvitaka vyombo hivyo kuitangaza Dodoma na fursa zake kwa sababu ndio makao makuu ya nchi.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mheshimiwa Dkt. Binilith Mahenge akizungumza machache kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mh. Juliana Shonza wakati wa sherehe za maadhimisho ya Siku ya Redio Duniani yaliyofanyika mjini Dodoma. 
Wa pili kulia ni Mgeni rasmi Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mh. Juliana Shonza, Kaimu Mkuu wa Ofisi za Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) nchini, Faith Shayo (wa pili kushoto) pamoja na Mkuu wa Mawasiliano na Habari wa Tume ya Taifa ya Unesco (NATCOM), Christina Musaroche (wa kwanza kushoto).
Aidha aliitaka Redio kutangaza fursa zote ambazo zipo Dodoma ili wafanyakazi na wafanyabiashara wanaohamia Dodoma kujua wanapata wapi mahitaji yao yakiwemo Makazi, Maji, Chakula, Elimu na kadhalika. Alitaka vyombo hivyo kuvutia wawekezaji ili mji huo uwe kweli katika karne ya 21 na makao makuu ya nchi.
Mgeni rasmi Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mh. Juliana Shonza akiwasili katika hoteli ya Nashera mjini Dodoma kushiriki sherehe za maadhimisho ya Siku ya Redio Duniani akiwa ameambatana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mheshimiwa Dkt. Binilith Mahenge (kulia) pamoja na Katibu wa Mtandao wa Radio za Jamii nchini (TADIO), Marco Mipawa (kushoto).
Kutoka kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mheshimiwa Dkt. Binilith Mahenge, Mgeni rasmi Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mh. Juliana Shonza, Kaimu Mkuu wa Ofisi za Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) nchini, Faith Shayo pamoja na Mkuu wa Mawasiliano na Habari wa Tume ya Taifa ya Unesco (NATCOM), Christina Musaroche wakiwa meza kuu wakati wa sherehe za maadhimisho ya Siku ya Redio Duniani mjini Dodoma.
Mratibu wa Mtandao wa Vyombo vya Habari na Jinsia Kusini mwa Afrika (GEMSAT) , Gladness Munuo akitoa mada kuhusu usawa wa jinsia katika kuripoti michezo, changamoto na taratibu zake wakati wa sherehe za maadhimisho ya Siku ya Redio Duniani yaliyofanyika mjini Dodoma. Katibu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Neville Meena akisisitiza umuhimu wa maudhui katika vipindi vya redio ambapo aliwaasa kutangaza masuala yanayowahusu wanajamii katika maeneo yanayohusika badala ya kuwalisha wasikilizaji taarifa ambazo ziko nje na mipaka wanayoishi.
Mtaalamu wa Vyombo vya Habari na Mawasiliano, Mariagoreth Charles akiwasilisha kanuni za uandishi wa habari za mtandaoni na mitandao ya kijamii kwa waandishi wa habari wa vyombo vya habari vya jamii kutoka Tanzania Bara na Visiwani pamoja na wadau wengine wa habari nchini walioshiriki kwenye maadhimisho ya Siku ya Redio Duniani yaliyofanyika mjini Dodoma.
Mtangazaji Mkongwe wa Habari za Michezo nchini, Abdallah Majura amesema pamoja na kwamba waandishi wanatangaza vipindi vya michezo lakini maudhui hayakidhi na kuvutia vile inavyostahili akitoa mfano hai wakati akichangia kwa nini waandishi wengi hawaandiki habari za michezo. Majura amesema yeye mwenyewe amewahi kupata tuzo mbili kwa ajili ya vipindi vya michezo.
Pichani juu na chini ni sehemu ya waandishi wa habari wa vyombo vya habari vya jamii kutoka Tanzania Bara na Visiwani pamoja na wadau wengine wa habari nchini waliohudhuria sherehe za maadhimisho ya Siku ya Redio Duniani yaliyofanyika mjini Dodoma.
Mgeni rasmi Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mh. Juliana Shonza (wa tatu kushoto), Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mheshimiwa Dkt. Binilith Mahenge (kushoto) pamoja na Kaimu Mkuu wa Ofisi za Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) nchini, Faith Shayo (wa tano kulia) wakicheza wimbo maalum wa ngoma za asili wa Kikundi cha Kaza Roho cha mjini Dodoma ulioongozwa na Msanii Mwinamila wakati wa sherehe za maadhimisho ya Siku ya Redio Duniani yaliyofanyika mjini Dodoma.
Mgeni rasmi Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mh. Juliana Shonza na meza kuu wakiwa katika picha ya pamoja na waandishi wa habari wa vyombo vya habari vya jamii kutoka Tanzania Bara na Visiwani pamoja na wadau wengine wa habari nchini wakati wa sherehe za maadhimisho ya Siku ya Redio Duniani yaliyofanyika mjini Dodoma.
via Blogger http://ift.tt/2Gb5amm via Tumblr http://ift.tt/2EqI6Ue via Blogger http://ift.tt/2o12kJO via Tumblr http://ift.tt/2sAUJGX” - http://www.mtazamonews.com/2018/02/redio-zatakiwa-kuwa-tarishi-wa-maendeleo_35.html via Tumblr http://ift.tt/2svi38Q via Blogger http://ift.tt/2EDvnNc
1 note · View note
demomediaempire · 4 years
Text
Video: Harmonize - Hujanikomoa
https://media101.co.ke/video-harmonize-hujanikomoa/ Video: Harmonize - Hujanikomoa -Download Video: Harmonize - Hujanikomoa Download or stream free mp3 for Harmonize - Hujanikomoa available on Media101 KE, the best site for music downloads and entertainment. Rajabu Abdul Kahali is a Tanzanian musician, songwriter, and dancer who goes by the stage name Harmonize. He records music for his own label KONDE MUSIC WORLDWIDE. He is well known for his hit song "kwangwaru", featuring Diamond Platnumz. He featured Rich Mavoko on his song "Show Me". Lyrics: Harmonize - Hujanikomoa Hii hapa sauti ya Konde Boy mjeshi (Konde Boy) Mwambieni dada yenu hajanikomoa Eti badala ya kujenga anabomoa Mwambieni dada yenu hajanikomoa Badala ya kujenga anabomoa Eti mapenzi hayalazimishwi Tena ni siri ya watu wawili Wala sikuwa mbishi Alivyonikata kimwili   Asa jana nipo kwa mama Winnie Napiga zangu chai vitumbua Eti kasambaza za chini chini Mie bado ninamsumbua Oooh mwambieni dada yenu hajanikomoa Eti badala ya kujenga anabomoa Mwambieni dada yenu hajanikomoa Ah badala ya kujenga ana Lyrics: Harmonize - Hujanikomoa Dodo style, eeh Mudi mnyama Msalimie Jengo tamu Eeh wapi mchachambo mchachambo Mwambie chibaba afagie njia wanajeshi tunapita   (Twende twende) Asa mguu pande mguu pande Twende mguu sawa mguu sawa Eeh mguu pande mguu pande Mguu sawa mguu sawa   Ruka kijeda kijeda Wahuni kijeda kijeda Asa jump kijeda kijeda Gwaride la kijeda kijeda Bosi mwenye bodaboda hujanikomoa Eti badala ya kujenga unabomoa Bosi mwenye bajaji hujanikomoa Badala ya kujenga unabomoa
Tumblr media
Chombo imelala gereji Mie jana sijakula vichwa Umetuma bonge la meseji Unataka pesa jua tu ni kichwa   Mi nafanya kazi kwa shida Nakesha tena silali Unachukulia barida Kwa nguvu unadai salary Lyrics: Harmonize - Hujanikomoa Muda mwingine niwabebe ndugu zako Ooooh ooooh ndugu zako Mwisho wa wiki unataka pesa zako Ooooh ooooh pesa zako   Bosi mwenye bodaboda hujanikomoa Maana badala ya kujenga unabomoa Bosi mwenye bajaji hujanikomoa Eti badala ya kujenga   Wazee wa chafu tatu(Mama) Chafu tatu(chinja) I say chafu tatu, chafu tatu   Na stima kei ndani(Wahuni) Kei ndani (Machizi boti) Ana dume ndani(Duke boti) Dume ndani(Yuapiga mata) Mzungu wa pili ndani(Wahuni) Pili ndani Aya sasa chafua(Walete) Chafua(Walete) Wahuni chafua(Walete) Chafua(Walete)   Nasema fitizi hiyo(Baruti) Fitizi hiyo(Baruti) Sasa fitizi hiyo(Baruti) Fitizi hiyo Lyrics: Harmonize - Hujanikomoa Juma mpogo, msalimie Omari Omari Na anifikishie salamu zangu kwa Dogo Mfalme Waambie gurudumu linasongeshwa Na Konde Boy Mjeshi Kama unampenda Dogo Mfalme, kimbiaa Kama unampenda Omari Omari, kelele Usijebishana, Young Keys mleto Mwambie mzambele ajinyonge   Hunter ninyonge Dogo router aninyonge Jose wa mipango, wa mipango Baba mwenye nyumba wangu hujanikomoa Maana badala ya kujenga unabomoa Baaba mwenye nyumba wangu hujanikomoa Badala ya kujenga unabomoa   Unakuja mpaka ndani Tena bila kugonga hodi Niulizapo ku nani? Nimechelewa kulipa kodi Umeme kwangu umekata Taa kwako zinawaka Ata maji umekata Nashinda gogo kukata   Kupata majaliwa Ipo siku utapewa Kwangu nitahamia Hata ikichelewa Baba mwenye nyumba wangu hujanikomoa Eti badala ya kujenga unabomoa   Hii ni order toka jeshini Namanisha kambi kuu Konde Gang Na anaye zungumza hapa ni mjeshi Wa majeshi yote ya Konde Gang Tulia, tulia, tulia Kaa chini wewe, kaa chini Lyrics: Harmonize - Hujanikomoa Aya sasa toa shati, toa shati Aah zungusha shati zungusha shati Eeh mpaka kofia yaani dareki Wazee wa vitambaa vitambaa Hii ni order wahuni kimbia! Wote lala chini, eeh lala chini (The Mix killer) https://media101.co.ke/video-harmonize-hujanikomoa/
0 notes
enockmaregesi · 4 years
Photo
Tumblr media
SI RAHISI RAIS TRUMP KUONDOLEWA OFISINI Rais Donald Trump wa Marekani ameshtakiwa na bunge la nchi hiyo (Congress) kwa makosa mawili: Kosa la kwanza ni matumizi mabaya ya madaraka kwa kuagiza Ukraini kumchunguza makamu wa rais wa zamani wa Marekani Joe Biden, ambaye yuko katika harakati za kuwania urais kwa tiketi ya chama cha Democratic. Kosa la pili ambalo kwalo Rais Donald Trump anashtakiwa ni kufanya njama ya kuvuruga uchunguzi wa Congress dhidi ya tuhuma zake, kwa kuwazuia maafisa kutoa ushahidi wao pamoja na kuficha baadhi ya nyaraka muhimu. Kuuelewa utaratibu wa kumshtaki na hatimaye kumwondoa rais wa Marekani madarakani lazima kwanza uuelewe mfumo wa bunge la Marekani. Kwa ufupi, Congress ni bunge la Marekani. Ndani ya Congress kuna taasisi kuu mbili: Baraza la Wawakilishi pamoja na Seneti. Wabunge wa Baraza la Wawakilishi ni wengi zaidi kuliko wabunge wa Seneti. Wawakilishi huchaguliwa na wananchi kwa kipindi cha miaka miwili, wakati maseneta huchaguliwa na wananchi haohao kwa kipindi cha miaka sita. Baraza la Wawakilishi la sasa la bunge la Marekani lina wabunge wengi zaidi wa chama cha Democratic kuliko wale wa Republican. Walakini, Trump anatoka Republican; kwa hiyo, hana sauti kubwa katika Baraza la Wawakilishi. Hata hivyo, Seneti ina wabunge wengi zaidi wa Republican kuliko wale wa Democratic. Maana yake ni kwamba, Rais Trump ana sauti kubwa zaidi katika Seneti; kwa sababu chama chake ndicho kinachoongoza katika Seneti kuwa na wabunge wengi zaidi kuliko Democratic. Rais wa Marekani anashtakiwa na Baraza la Wawakilishi la Congress, lakini anahukumiwa na Seneti. Juzi (Jumatano) wengi wetu tulishuhudia Rais Trump akishtakiwa na Baraza la Wawakilishi la Congress, kufuatia tuhuma dhidi yake za kumchafulia jina mpinzani wake mkuu Joe Biden. Ukweli wa mambo ni kwamba Trump ameshtakiwa (amekuwa "impeached") na Baraza la Wawakilishi la Congress, lakini bado ni rais wa Marekani; kwa sababu Seneti bado haijatoa hukumu dhidi yake, na inatarajia kufanya hivyo mwezi wa kwanza mwakani. Soma zaidi hapa: https://m.facebook.com/story.php?story_fbid=2917201954970280&id=100000415120038 #presidentdonaldtrump #impeachment https://www.instagram.com/p/B6TEVdMBL5V/?igshid=1g77x91c9c1fk
0 notes