Tumgik
#Mapenzi ya Mungu
musicpromotionclub · 5 months
Text
youtube
Laurianne Kapombe has come up with her latest music video ‘Mapenzi ya Mungu’
0 notes
rwizakakiza · 2 months
Text
Somo: UMUHIMU WA TOBA YA KWELI, MAUNGAMO YA KWELI NA MSAMAHA WA KWELI
°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°
Fuatilia YouTube.
https://www.youtube.com/@Rwizakakiza
Sehemu II
NINI MAANA YA TOBA YA KWELI?
..... Ni hali ya kugeuka yaani kumgeukia MUNGU na kutimiza mapenzi yake. / Ni hali ya kufanya mapinduzi dhidi ya utawala wa dhambi. / Ni hali kufanya mabadiliko ya ndani yanayoleta mabadiliko ya nje ya kuishi Utakatifu. / Ni hali ya kuamua kuachana na dhambi kabisa na kumrudia MUNGU.
Zote hizo ni maana ya toba ya kweli, kuna mtu kufanya toba lakini isiyo ya kweli,
Mfano
Mtu anapofanya toba bila maamuzi ya kuacha dhambi, hiyo sio toba ya kweli ila amefanya toba kwa kinywa ili kutimiza wajibu, Ndio maana mtu anaweza akafanya toba na maungamo, lakini akarudia dhambi ile ile.
Toba ya kweli inadai mabadiliko kuanzia ndani na yanadhirishwa na matendo ya kawaida ya nje.
Mfano
Mtu alikuwa mzinzi / uasherati akaamua kumgeukia YESU kwa kutubu na kuamua kuacha ndani yake hali hiyo ikampeleka kwenye Kukiri kosa yaani kuungama. Maungamo hayo yanasukuma badiliko la tabia ya nje kutokea yaani kuacha kabisa uzinzi na kujenga uaminifu kwa MUNGU na kwa jamii inayokuzunguka.
MUNGU akasema,... "Rudini sasa, kila mtu na aiache njia yake mbaya; uacheni uovu wa matendo yenu, mkae katika nchi ambayo BWANA aliwapa, ninyi na baba zenu, tangu zamani za kale na hata milele;
.......Yeremia 25:5....….
Unaona kwenye andiko hili MUNGU anadai badiliko sahihi ambalo linaletwa kwa toba ya kweli. MUNGU mwenyewe anatoa mwaliko wa wakosefu au wadhambi KURUDI yaani kugeuka walipokuwa na kurudi kwa MUNGU, na kurudi sio tu kugeuka, bali anasema ni KUACHA matendo au njia mbaya tunazokuwanazo kurudi kwake. Baada ya kuacha dhambi /Uovu yaani kufanya toba ya kweli inakusaidia kukaa katika nchi njema yaani baraka na mafanikio unavyovitafuta vitakufuata kwa sababu umerudi kwa MUNGU aliye kuumba utapata mastahiki na haki zako zote kama mwana wa MUNGU.
...... Tutaendelea.....
Rejea
‭‭ “GOD saying, ‘Turn now everyone from his evil way and the evil of your actions [that you may not forfeit the right to] live in the land that the LORD has given to you and your forefathers forever and ever.
......Jeremiah‬ ‭25:5‬.......
Ev. Erasmus Pascrates Kakiza
(WhatsApp: +255 782 546 914)
@2024 The year of my shining.
0 notes
mnaasilveira · 3 months
Text
Mitume wa Nyakati za Mwisho
_______________________________________________________________ Mitume wa Nyakati za Mwisho wanajumuisha jumuiya ya watu na jukumu la kitume. Ni mkusanyiko wa ghafla wa nguvu unaotokea ndani ya Kanisa. “Tunaomba pamoja na Bikira Maria kwa mitume wa siku za mwisho wafufuke,” Malaika Mkuu Michael alisema kwa Fr Rodrigue mnamo Januari 3, 2019. Kwa mapenzi ya Mungu, Mariamu ni kuwatayarisha kupanua…
View On WordPress
0 notes
mateoshija · 3 months
Text
Furahini siku zote
Furahini siku zote;ombeni bila kukoma;shukuruni kwa kila jambo; maana hayo ni mapenzi ya Mungu kwenu katika Kristo Yesu.Msimzimishe Roho;msitweze unabii;jaribuni mambo yote; lishikeni lililo jema;jitengeni na ubaya wa kila namna. 1 Wathesalonoke 5:16-22
View On WordPress
0 notes
chamazimusic · 6 months
Video
youtube
Nenda Salama by Omary Kopa | Video Taarab Lyrics   Nilipokulea mwanangu ulileleka Leo ushapata wako mwanangu Unaondoka leo. Nilipokulea mwanangu ulileleka Leo umepata wako mwanangu unaondoka Nasema nilipokulea mwanangu ulileleka Leo ushapata wako mwanangu Unaondoka leo Nilipokulea mwanangu ulileleka Leo umepata wako mwanangu unaondoka Mama leo umepata wako Mwanangu unaondoka eeeh Mama kaanze maisha yako Mwanangu unaondoka eeeh Mama kawatunze wakwe zako Mwanangu naondoka eeeh Mama kampende mume wako Mwanangu naondoka eeeh Boga ulilolipenda mwanangu lipende na ua lake Bwana uliyempenda mwanagu upende na ndugu zake Lolote likikushinda mwanangu uende kwa Wazazi wake Nilipokulea mwanangu ulileleka Leo umepata wako mwanangu unaondoka eeeh Aaaah... boga ulilolipenda mwanangu ulipende na ua lake Mtu uliyempenda mwanangu mpende na ndugu zake Lolote likikushinda mwanangu uende kwa wazee wake Nilipokulea mwanangu ulileleka Leo umepata wako mwanangu unaondoka eeeh Mama leo umepata wako Mwanangu unaondoka eeeh Dada yaanze maisha yako Mwanangu naondoka eeeh Mama kampende mume wako Mwanangu naondoka eeeh Dada kampe mapenzi yake Mwanangu naondoka eeeh Haya yote ni maisha mwanangu na wewe kajitahidi Yasije kubabaishi mwanangu ukuje kuwa huna budi Mgawie visokwisha mume wako umzidishe hundi Nilipokulea mwanangu ulileleka Leo umepata wako mwanangu unaondoka Nasema yote ni maisha nawe mwanangu kajitahidi Yasije kubabaisha mwanangu ukuje kuwa huna budi Mgawie visokwisha mume wako umzidishe mdadi Nilipokulea mwanangu ulileleka Leo umepata wako mwanangu unaondoka eeeh Mama leo umepata wako Mwanangu umeondoka eeeh Mama kaanze maisha yako. Mwanangu unaondoka eeeh Mama kawapende wakwe zako. Mwanangu unaondoka eeeh Mama kampende mume wako. Mwanangu unaondoka eeeh Kuna videge viwili mwanangu vitakuja na tishio Vitajiletajileta kwa njia ya matamanio Jua raha ya mapenzi mwanangu kalale na mumeo Nilipokulea mwanangu ulileleka Leo umepata wako mwanangu unaondoka eeeh Nasema kuna ndege wawili mwanangu watakuja na tishio Watakufuatakufuata kwa njia ya matamanio Jua raha ya mapenzi mwanangu ulale na mumeo Nilipokulea mwanangu ulileleka Leo umepata wako mwanangu unaondoka eeeh Mama leo umepata wako. Mwanangu umeondoka eeeh Mama kaanze maisha yako Mwanangu naondoka eeeh Mama kampende mume wako. Mwanangu unaondoka eeeh Mama utunze heshima yako. Mwanangu unaondoka eeeh Mama leo umepata wako. Mwanangu unaondoka eeeh Mama kaanze maisha yako. Mwanangu unaondoka eeeh Mama kampende mume wako Mwanangu unaondoka eeeh Fika salama salama Fika salama salama Nenda salama mwanangu salama Nenda salama salama Tutaonana tena Mungu akipenda Fika salama salama Kwa uwezo wa... Fika salama salama Fika salama salama Fika salama salama Kweupe kule pwani kweupe kuna madege Kweupe kule pwani kweupe kuna madoa Kweupe kule pwani kweupe kuna madoa Kweupe kule pwani kweupe kuna madoa kweupe Kweupe kule pwani kweupe kuna madege Kweupe kule pwani kweupe kuna madoa kweupe Kweupe kule pwani kweupe kuna madoa Kweupe kule pwani kweupe kuna madoa kweupe Kweupe kule pwani kweupe kuna njiwa Kweupe kule pwani kweupe kuna madoa kweupe Nenda salama salama Nenda salama salama Nenda salama mwanangu salama Nenda salama salama Mama leo umepata wako. Mwanangu unaondoka eeeh Mama kaanze maisha yako. Mwanangu unaondoka eeeh Mama kampende mume wako. Mwanangu unaondoka eeh Mama utunze heshima yako. Mwanangu unaondoka eeeh Mama leo umepata wako. Mwanangu unaondoka eeeh Mwanangu unaondoka eeeh Mama kaanze maisha yako. Mwanangu unaondoka eeeh Mama kampende mume wako. Mwanangu unaondoka eeh Mama utunze heshima yako. Mwanangu unaondoka eeeh
0 notes
mrherojoseph-blog · 1 year
Photo
Tumblr media
USHUHUDA WA KUREJESHEWA NDOA; Janeffer Mwongeli kutoka Kanyangi-Kitui county.... Amekuja kushukuru Mungu baada ya kurejeshewa ndoa yake. Janeffer alikuja maombi siku ya Tuesday wiki iliyopita akilia nimuombee maana mme wake alikua amemwacha kwa boma na akachukuliwa na mwanamke mwingine hapo sokoni. Tuliingia maombi.. nikaonyeshwa nguvu za uchawi wa mapenzi uliotumika kuchukua mme wa Janeffer... Niliandika majina ya Janeffer na mme wake.. nikayaweka kwa madhabahu na nikayatia mafuta (Anointing oil) kuangamiza uchawi unaotumika kuwatenganisha. Mungu alifanya muujiza.. mme wa Janeffer akarudi nyumbani.. na asubuhi hii Janeffer amerudi kushukuru Mungu Kwa kurejeshewa ndoa yake. Nakuombea!!! Mungu akurejeshee chochote ulichonyang'anywa katika jina la Yesu. Type "NITAREJESHEWA KILICHO CHANGU" na kwa Imani utaona Mungu akitenda. Prophet Dr Mutula. 📞☎️0720508509/0745207062 #utarejeshewa_kilicho_chako https://www.instagram.com/p/CqAcMJZo4UY/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
vijanatutaongea · 1 year
Photo
Tumblr media
KATAMBI ABAINISHA NAMNA RAIS ANAVYOWAJALI WATU WENYE ULEMAVU   Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Patrobas Katambi, amesema mambo mbalimbali yanayofanywa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa Watu wenye Ulemavu na kutoa rai kwa wadau kuunga mkono jitihada hizo kwa kuchangia ujenzi wa Ofisi ya Makao Makuu ya Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu nchini (SHIVYAWATA).   Shirikisho hilo lilipatiwa kiwanja kwa ajili ya ujenzi wa ofisi hiyo chenye thamani ya Sh.Milioni 37 na Dkt Samia ikiwa ni mwendelezo wa kuwajali Watu wenye Ulemavu nchini.   Amesema hayo jijini Dodoma, Januari 26, 2022 na kueleza kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Dkt Rais Samia inawajali Watu wenye Ulemavu na imeendelea kutoa kipaumbele kwa kuweka mazingira wezeshi ili kuwawezesha kuondokana na vikwazo mbalimbali vinavyowakabili.    Katika kikao kilichofanyika Ikulu ambacho Rais Samia alikutana na Watu wenye Ulemavu waliomba kusaidiwa mengi ambayo Dkt Samia kayatimiza haraka kwa mapenzi na mahaba makubwa kwa gharama za kuvunja record. Mungu amtunze. https://www.instagram.com/p/Cn_9csCsDuK/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
runxiang277-blog · 5 years
Text
8. Ufahamu Kiasi Kuhusu Kuokolewa
8. Ufahamu Kiasi Kuhusu Kuokolewa
Tumblr media Tumblr media
8. Ufahamu Kiasi Kuhusu Kuokolewa
Lin Qing Jijini Qingzhou, Mkoa wa Shandong
Kwa miaka hii mingi ya kumfuata Mungu, nimeacha familia yangu na raha za mwili, na nimekuwa na shughuli nyingi siku nzima nikitimiza wajibu wangu kanisani. Kwa hiyo niliamini: Mradi tu nisiache kazi yangu katika kanisa, nisimsaliti Mungu, nisiache kanisa, na kumfuata Mungu hadi mwisho, nitahurumiwa na kuokolewa na…
View On WordPress
0 notes
Ushuhuda wa Mkristo: Jinsi Alivyoshinda Majaribu ya Kuwa na Mpenzi wa Siri (Sehemu ya 1)
Ushuhuda wa Mkristo: Jinsi Alivyoshinda Majaribu ya Kuwa na Mpenzi wa Siri (Sehemu ya 1)
Tumblr media Tumblr media
Na Xiyue, Mkoa wa Henan
Jioni moja, Jingru alikuwa akinadhifisha kwake.
“Krr, krr.” Simu ilianza kulia. Aliijibu na sauti ngeni lakini bado inayojulikana ililia sikioni mwake: “Halo! Ni Wang Wei. Uko nyumbani!”
“Wang Wei?” Jingru kwa namna fulani alistaajabu: Kwa nini alikuwa akimpigia simu sasa baada ya miaka mingi sana?
“Ndiyo … niko nyumbani. Kuna nini?” aliuliza Jingru kwa mshangao.
View On WordPress
0 notes
mateoshija · 4 months
Text
Ombeni, nanyi mtapewa
Usiache kuomba Daima kwani Mungu anasikia na anaupendo, atakupa kadiri ya mapenzi yake Akawaambia, Ni nani kwenu aliye na rafiki, akamwendea usiku wa manane, na kumwambia, Rafiki yangu, nikopeshe mikate mitatu, kwa sababu rafiki yangu amefika kwangu, atoka safarini, nami sina kitu cha kuweka mbele yake; na yule wa ndani amjibu akisema, Usinitaabishe; mlango umekwisha fungwa, nasi tumelala…
View On WordPress
0 notes
owenizi · 2 years
Photo
Tumblr media
MAOMBI KWA MPENZI!!❤️😂 MPENZI PESA endeleza Mapenzi japo sikuoni, usitake nipate presha nizime roho kabla ya kukumiliki na kukuweka ndani unitumikie. Wewe ni ndoto ya kila mmja, Sio mtoto wala mzee wote wanakutafuta. Wewe ni tatizo na mkombozi pia. Pesa umeelewa sifa nyingi sana, unawaadabisha watu, kuwashusha na kuwapandisha pia. Unawaheshimisha na kuwadharaulisha watu. Pesa wewe ni chanzo cha shibe na njaa tena wewe ni kipimo cha mafanikio na utu. Pesa wewe ni kifo na uhai pia. Ukisikia uchumi umeyumba, ujue pesa umezinguwa. Pesa umewapa watu majina ya kila aina, hata chanzo cha maskini na tajiri ni wewe. Ukisikia mtu kasaidiwa ama kuonewa, lazima pesa umehusika. Pesa wewe umeharibu na kutengeneza tabia za watu. Unapokosekana wewe mambo mengi yanakwama. Sikusifii sana mpenzi pesa ila ukweli wewe ni bora kuliko hata maji. Ni mengi ya kusema juu yakoo ila leo niishie hapa. Namuomba Mungu nikikupata nikuheshimu, nikutumie kwa unyenyekevu na nidhamu ya hali ya juu kwani jeuri zako zazidi ujanja wetu. Ikiwa kweli pesa wewe ni wa kupita, hebu pita kwetu, mana hata sisi ni wa kupita.... Akuna snichi mkubwa kama Pesa ukiwa nazo fanya cha maana akiondoka atakutesa💰 .. . . . . . #gainwithkarani #gainwithkenyanoxygen #gainwitheepluto #gainwithmtaaraw #gainwithnjeri #gainwithbandanafather #gainwithkarani_elder #gainwithhearticker #gainwithmchina #gainwithfinessengara #gainwithpaula #gainwithbundi #gainwithmtaaraw #gainwithtashamuthoni #gainwithpokotniccur #nairobi #finessengara #followforfollowback #karanielder #likeforlikes #gainwithpolasha #gainwithnairobian #publicity254 #trilliestteens254 #tembeakenya #gainwithxtiandela #igersnairobi #iamnairobian #gainwithmugweru #igers #igersnairobi #publicity254 #nairobi (at Dar es Salaam, Tanzania) https://www.instagram.com/p/CY1mHMBqpNn/?utm_medium=tumblr
0 notes
mrherojoseph-blog · 1 year
Photo
Tumblr media
MME WA MTU SUMU!! Mwanamke atumia Maji yenye UHAI kutoka kwa Nabii Mutula kurejesha ndoa yake!! 🟠Peninah alikuja maombi siku ya Tuesday wiki hii.. akilia nimuombee maana mme wake alikua amechukuliwa na mwanamke rafiki yake. Nilimuombea.. nikampatia Maji ya uhai ⛲ akanywa na akatamka maneno haya "YEYOTE ALIYECHUKUA MME WANGU ACHOMEKE NA AFURE SEHEMU NYETI AKIFANYA MAPENZI NA MME WANGU " Alienda.. ikatendeka kama alivyoomba.. Akarejeshewa ndoa yake na ndio Hawa Wamekuja Leo niwafungue. MME wake amefura sehemu Nyeti.. na mwanamke aliyekua amechukua mme wake anasikia akichomeka sehemu Nyeti.. Natangaza Kama Nabii wa Mungu aliyehai.. Yeyote Aliyetumia uchawi kukunyang'anya nyota, ndoa, Kazi, Biashara, afya au chochote maishani mwako Aanze kuchomeka mpaka awachilie maisha yako in Jesus mighty name. Prophet Mutula PGC church, kitise town ⛪ 📞☎️0720508509 #LetMyPeopleGo https://www.instagram.com/p/CqAA8HFI8SL/?igshid=NGJjMDIxMWI=
0 notes
Text
Mfano n ° 978: "Mapenzi kwa Afrika nzuri (🌍)" _______________________________________
Keubeng.T.P.R
第 一个 非洲 👤✡️
⚫Afrika, nifanye nibaki!
⚫Afrika, nifanye nipumue!
⚫Afrika, nifanye niote!
⚫Afrika, nifanye nisonge mbele!
⚫Afrika, dunia ya kijani kibichi!
Kama uwanja wa michezo, kwenye ardhi yako nilikua, na kama kitanda cha maua, macho yetu kwako daima yamejaa upendo, kwa sababu bado kuna sababu nyingi za kukupenda na kukuamini.
⚫Afrika, wewe lengo la kupoteza matumaini!
Wewe ni joka ambaye anaendelea kutafuta njiti, mwenye macho yaliyofunikwa, nguvu za kutangatanga na akili iliyochanganyikiwa. Lakini siku itakuja ambapo utaanza tena njia kuelekea utafutaji huu wa kuzaliwa upya. Namshukuru Mungu kwa kuzaliwa chini ya shuka la Mama Afrika.
⚫Afrika, wewe ndiye chimbuko la sanaa!
Maisha ni sanaa kabisa, yaliyopita ni somo la historia nzima, lakini machweo ya jua yamejaa matumaini. Nini zaidi ya kusema kwa macho yako, isipokuwa kwamba mama zangu wa Kiafrika ni wanawake wanaostahili heshima, wa maadili, wa rangi nzuri. Ngozi nyeusi yenye kupendeza, yenye kuvutia na warembo elfu moja wasioweza kutetereka.
⚫Afrika, wewe nchi yangu nzuri!
Bara lenye mandhari elfu moja; na kozi elfu kumi za ndoto za uchawi, na miale laini ya utamu na furaha. Ninataka kuwa huko, sasa, kesho na daima kunusa harufu zako kali, kunikumbatia kwenye mwambao wa mawimbi yako na upepo wako.
⚫Afrika, wewe bara una makovu elfu moja lakini bado ni ya kupendeza!
Afrika, wewe ambaye umekuwa ukilia kwa muda mrefu, lakini unapendwa daima!
⚫Afrika, kwa uzuri wako, ningependa kutafakari kila wakati!
Afrika, picha yako nataka kukumbuka kila wakati!
⚫Afrika, nifanye niamini tena!
Afrika, sitaki kukusahau!
Afrika, nataka kubaki!
⚫Afrika, nifanye nibaki!
⚫Afrika, nifanye nipumue!
⚫Afrika, nifanye niote!
⚫Afrika, nifanye nisonge mbele!
......... Mwisho wa Kuchapishwa kwa kesi n ° 978.
______________________________________
#ujasiriamali#fedha#motisha#upendo#muunganowaafrika#kuishipamoja#afrika#milazaafrika#afrika#afrika#shauku#hisia#utamaduniwaafrika#hisia#ukweli#ndoa#muungano#hisia#maamuzi#matarajio#ndoto#msukumo#binafsimaendeleo#quotes#mafanikio#Maisha#kuwepo#maadili#dhamiri#falsafa#siasa#anthropolojia#saikolojia#sosholojia#uchumi#raia#uhusianowakimataifa#maslahi#utamaduni#jadi#watu#weusi#nguvu#uvumilivu#elegance#kujiamini#ufasaha#uhakikisho
Tumblr media Tumblr media
0 notes
imungy-blog · 3 years
Photo
Tumblr media
TBT Maombi ya Mama Mangowi kwangu ilikuwa ni jambo lenye neema na rehema kubwa kwangu. Akinishika mikono na kuomba pamoja na mimi huku akitamka maneno ya kumsihi Mungu kunibariki na kunilinda na kila lililo kinyume na mapenzi ya Mungu. Hadi leo maombi haya yapo kazini. Endelea kupumzika kwa amani Mama Mangowi. #mtotowanesi https://www.instagram.com/p/CUchUIFsGce/?utm_medium=tumblr
0 notes